Je, ni kweli Wasanii wa Congo wapo juu kwa ushirikina?

Kweli..Congo wasanii wengi ndumba sana Fally Ipupa kamuua mama yake na kile kitambaa anachotumiaga kufutia jasho ni cha marehemy mama yake...JB Mpiana wa wenge BCBG kameza chura,Koffi olomide anaoga mikojo kabla ya kwenda kwenye show..Huyu JB Mpiana nahisi nyimbo zake kabla ya kutoa ni kweli zinakuwa na makafara ya kutisha maana ni miaka zaid ya 20 sasa kila asubuhi nikiamka iwe room kwangu au kwenye gari lazima nisikilize nyimbo zake kuanzia Feux De Amour,48 heures Gecoco,Masuwa n.k alikujaga 2014 Leaders lilipigwaga sebene la hatari la Gecoco watu shangwe kibao...hizi story zipo kwa sababu waganga hawaishi mbinguni wapo maeneo hayohayo wanayoishi kwahyo watu wanawaona kwa macho wakiwa katika hizo harakati kwako GENTAMYCINE
Fally bado yupo na olivia yule wa g unit
 
Si wakongo tu hata bongo hakuna msanii asiekwenda kwa mganga. Kuna mmoja juzi eti anatuambia alishawah kwenda kwa mganga ila hakuona faida yake nlicheka nkasema huyu anatuchezea akili
Nandy tu hapa bongo analaumiwa sana kwa ndumba yani iko hivi KAZI YAUSANII NA UCHAWI HAVIEPUKIKI USIPOROGA UTAROGWA UKIPOTEA MGANGA WAKO KAISHA MAKALI

Nandy anashupaliwa sana issue ya uchawi But sijawah kuamini kalivyo kapole vile
 
UONGO MTUPU

Wakongo muziki ni jadi yao, Ni utamaduni wao, ni kazi yao na ni sehemu ya maisha yao

Halafu ukweli ni kuwa wana asili ya sauti nzuri na wanapenda sana kuifanyia mazoezi sauti zao hata wakiwa katika matembezi au shughuli zingine za kawaida

Siri ya muziki wao kufanya vizuri ni Mazoezi tu na kupenda kazi yao.

Tazama mazoezi waliokuwa wakifanya akina Madilu System, Franco L. Makiadi na wengine na wanajiandaa kwa muda mrefu kabla ya kutoa nyimbo zao.

UCHAWI HAKUNA....!!!

ukitaka kufanikiwa penda unachokifanya na ufanye kwa juhudi zote.

Wabongo ni wajinga wajinga sana na Majungu tele
 
Kweli..Congo wasanii wengi ndumba sana Fally Ipupa kamuua mama yake na kile kitambaa anachotumiaga kufutia jasho ni cha marehemy mama yake...JB Mpiana wa wenge BCBG kameza chura,Koffi olomide anaoga mikojo kabla ya kwenda kwenye show..Huyu JB Mpiana nahisi nyimbo zake kabla ya kutoa ni kweli zinakuwa na makafara ya kutisha maana ni miaka zaid ya 20 sasa kila asubuhi nikiamka iwe room kwangu au kwenye gari lazima nisikilize nyimbo zake kuanzia Feux De Amour,48 heures Gecoco,Masuwa n.k alikujaga 2014 Leaders lilipigwaga sebene la hatari la Gecoco watu shangwe kibao...hizi story zipo kwa sababu waganga hawaishi mbinguni wapo maeneo hayohayo wanayoishi kwahyo watu wanawaona kwa macho wakiwa katika hizo harakati kwako GENTAMYCINE
Ulimuona JB Mpiana akimeza chura? Koffi Olomide akioga mikojo?

Una ushahidi kuwa Fally Ipupa alimuua mama yake na si kwamba ulisikia tu ukaamini?

Una uhakika mama yake aliuawa na Fally Ipupa na si kwa ugonjwa?

Itakuwa vizuri na kuokoa muda kama ukijibu straight away na sio kuleta story ndefu.

Karibu.
 
Ulimuona JB Mpiana akimeza chura? Koffi Olomide akioga mikojo?

Una ushahidi kuwa Fally Ipupa alimuua mama yake na si kwamba ulisikia tu ukaamini?

Una uhakika mama yake aliuawa na Fally Ipupa na si kwa ugonjwa?

Itakuwa vizuri na kuokoa muda kama ukijubu straight away na sio kuleta story ndefu.

Karibu.
Asante mkuu...nichukue nafasi hii kukwambia ya kwamba sina majibu ya maswali yako na siwezi kuyaongelea mambo hayo ukiona ni chai yaache kama yalivyo
 
Mama yake Rayvanny hataki hela za mwanae anadai zina mauza uza kibao
mama kazikataa kabisa bado anauza ndizi sokoni hata dada zake hawazitaki..hela masharti kibao unaona mtu anasuka nywele za kike, anavaa headscarfs za kike probably hata mnduku wanatoa kama masharti ya kufanikiwa na ku glorify ma celebrity mashoga kama yule mtangazji wao wa wasafi hadi vijana wa mitandaoni wanaona ni kitu cha kawaida
 
kwani yule si alikuwa boss wa shirika la ndege? sidhani kama alikuwa waziri ila defao ana bahati mbaya sana na bongo hata nyoshi el sadaat alimpa lift kwenye kigari chake kibovu wanaenda kwenye show mango garden kufika mwananyamala hospital gari ikaisha mafuta nyoshi kashuka na kidumu anakimbilia petrol station huku nyuma defao kaona ujinga kachukua teksi akiwa kakasirika sana sababu watu walishazingira gari kumshangaa
Acha Ubishi alikuwa ni Waziri ( sasa ni Marehemu ) Jina lake la Kwanza linaanza na Herufi H na la Pili linaanza na Herufi D. Naomba niishie hapa tafadhali.
 
Acha Ubishi alikuwa ni Waziri ( sasa ni Marehemu ) Jina lak!Kwanza linaanza na Herufi H na la Pili linaanza na Herufi D. Naomba niishie hapa tafadhali.
Acha Ubishi alikuwa ni Waziri ( sasa ni Marehemu ) Jina lake la Kwanza linaanza na Herufi H na la Pili linaanza na Herufi D. Naomba niishie hapa tafadhali.
Acha Ubishi alikuwa ni Waziri ( sasa ni Marehemu ) Jina lake la Kwanza linaanza na Herufi H na la Pili linaanza na Herufi D. Naomba niishie hapa tafadhali.
Acha Ubishi alikuwa ni Waziri ( sasa ni Marehemu ) Jina lake la Kwanza linaanza na Herufi H na la Pili linaanza na Herufi D. Naomba niishie hapa tafadhali.
Aisee
 
Acha Ubishi alikuwa ni Waziri ( sasa ni Marehemu ) Jina lake la Kwanza linaanza na Herufi H na la Pili linaanza na Herufi D. Naomba niishie hapa tafadhali.

hamna marehemu waziri wa kikwete alikua na sifa hizo H na D as herufi za mwanzo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom