Je, ni kweli wapinzani ndiyo waliopitisha Sheria ya Utakatishaji Fedha/ Money laundering?

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,944
Aman iwe nanyi wakuu,

Nimekuta hapa kijiweni kuna mzozo mkali sana vijana wakidai kuwa sheria ya uhujumu uchumi ilipitishwa na vyama vya upinzan ili kuwakomoa mafisadi akina chenge

Lakin mimi sijataka kuamini, ila nikaona isiwe kesi ngoja niibuke jamiiforum watakuwa na majibu mazuri zaidi.

Asanten naomba kujua

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..sheria ya uhujumu uchumi haikutokana na HOJA BINAFSI ya mbunge wa upinzani.

..serikali ilipeleka mswada bungeni.

..wabunge wakaujadili mswada na kuupitisha.

..RAISI akasaini na hivyo kuanza kutumika kama sheria.

..inawezekana kabisa kuwa sheria hii ni nzuri ila inaonekana ni mbaya kwasababu inatumika dhidi ya watuhumiwa wasiohusika na makosa ya uhujumu uchumi.

..pia sheria ambazo zimeonekana kuwa na matatizo / mapungufu / changamoto ktk utekelezaji wake huwa zinafanyiwa marekebisho. Hivyo kama sheria ya uhujumu uchumi ina matatizo / mapungufu basi inatakiwa kufanyiwa marekebisho.
 
Aman iwe nanyi wakuu,

Nimekuta hapa kijiweni kuna mzozo mkali sana vijana wakidai kuwa sheria ya uhujumu uchumi ilipitishwa na vyama vya upinzan ili kuwakomoa mafisadi akina chenge

Lakin mimi sijataka kuamini, ila nikaona isiwe kesi ngoja niibuke jamiiforum watakuwa na majibu mazuri zaidi.

Asanten naomba kujua

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia akili wewe wapinzani wako wangapi mpaka wapitishe,Sheria zote unazozijua wewe kuwa kandamizi zimepitishwa na Chama Tawala CCM kwa wingi wao Bungeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom