Developer IOS
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 1,457
- 1,409
Kumekuwa na hoja dhaifu sana ambao viongozi wa upinzani huwaaminisha wafuasi wao ili kukwepa kuwa responsible.
Miaka nenda miaka rudi kabla ya uchaguzi upinzani huwaaminisha ushindi wafuasi wao na kuwaahidi watalinda kura hawataibiwa lakini wakishindwa wanadai wanaibiwa.
Je, kwanini wanakubali kushiriki uchaguzi ambao wanajua watadhulumiwa?
Siku zote njia ya kipekee ya ushindi ni kujianda jambo ambalo CCM wanalifanya vizur sio ujanja ujanja wa kuja na propaganda za kuibiwa kura ili hali kunakuwa na mawakala wenu na kama mawakala wanauza kura je mkipewa nchi viongozi si watauza nchi.
Ni mwendawazimu au Nyumbu pekee anaye weza kuamini mgombea wa urais aliyeshindwa katika mchujo wa wagombea wa CCM aje apewe nafasi kugombea kupitia Upinzani alafu ashinde uchaguzi. Yaani Kapi kutoka CCM lije li iangushe CCM.alafu uwaambie wananchi waliopiga kura kwamba tumeshinda ila tumeibiwa.
Na kama mnaibiwa mbona mnashindwa kupeleka hata nusu ya wabunge wa CCM je hata kama mngeshinda urais mtaundaje serikali bila kuwa na majority bungeni.