Je, ni kweli wapinzani mnaibiwa kura au hamna strategies za kuishinda CCM?

Masenu K Msuya

Verified Member
Jun 20, 2017
1,459
2,000
Kumekuwa na hoja dhaifu sana ambao viongozi wa upinzani huwaaminisha wafuasi wao ili kukwepa kuwa responsible.

Miaka nenda miaka rudi kabla ya uchaguzi upinzani huwaaminisha ushindi wafuasi wao na kuwaahidi watalinda kura hawataibiwa lakini wakishindwa wanadai wanaibiwa.

Je, kwanini wanakubali kushiriki uchaguzi ambao wanajua watadhulumiwa?

Siku zote njia ya kipekee ya ushindi ni kujianda jambo ambalo CCM wanalifanya vizur sio ujanja ujanja wa kuja na propaganda za kuibiwa kura ili hali kunakuwa na mawakala wenu na kama mawakala wanauza kura je mkipewa nchi viongozi si watauza nchi.

Ni mwendawazimu au Nyumbu pekee anaye weza kuamini mgombea wa urais aliyeshindwa katika mchujo wa wagombea wa CCM aje apewe nafasi kugombea kupitia Upinzani alafu ashinde uchaguzi. Yaani Kapi kutoka CCM lije li iangushe CCM.alafu uwaambie wananchi waliopiga kura kwamba tumeshinda ila tumeibiwa.

Na kama mnaibiwa mbona mnashindwa kupeleka hata nusu ya wabunge wa CCM je hata kama mngeshinda urais mtaundaje serikali bila kuwa na majority bungeni.
 
Themagufulianz

JF-Expert Member
Apr 15, 2017
4,035
2,000
Wewe sio Msuya, Akina Msuya wana akili Sana! Umeiba jina la ndugu zangu wewe! Huwezi kujenga hoja dhaifu kiasi hiki, hata siku moja huwezi kujenga hoja tena kwenye para ya kwanza kwa uandishi Kama huu.

Poor you

Sent using Jamii Forums mobile app
kosoa wapi kakosea mkuu kuliko ku attack jina na personality yake.....
Binafsi naona kuna ukweli.... pamoja na polisi na tume nk kuna uwezo wa vyama pinzani vikajijenga na kuishinda CCM..
Na if not tuweke mpira kwapani tukijua kuwa hakuna tume huru na polisi na wasimamizi CCm watakwamisha..
Otherwise tutazidi kuwa na "beautiful excuses"
 
Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
40,180

Asante Sana! Hili Sidhani kama kweli linahitaji kiingereza kulielezea! Hao wote ni Appointees wa Nani? Hivi anayekuchateua Unaweza kufanya kinyume na matakwa yake?

Hivi ni kweli wewe na mleta Mada hamjui kuwa wasimamizi wa chaguzi ni Wakurugenzi ambao ni Makada WA Kijani? Hili nalo linahitaji nipoteze muda kumjibu?

Hivi ni kweli amesahau kuwa Jamaa aliwahi Kusema kuwa "Mkurugenzi Nakupa gari na mafuta sasa Ole wako mpinzani apite? " hivi Yule Mama Mkurugenzi ambaye video clip ilisambaa kwenye mitandao akiponda Upinzani huku akiwa kwenye ofisi ya umma tumemsahau?

Tumesahau Yule RPC sijui wa Manyara au Musoma aliyekua anaimbisha watu wimbo wa CCM? Yaani haya yote hatuyaoni?

Mleta Mada ni nanihii flani hivi...

ukiangalia kwa jicho moja utaona ugumu tu uliopo kwa upande wa CCM.. na kwa maelezo yako ntaungana nawe kukata tamaa.
Ila kuna nchi zilikuwa hivyo na serikali zao zilikuwa hivyo unavyoona ... ila vikajengwa vyama imara vyenye nia na lengo la kutoa chama tawala madarakani na wakafanikiwa japo jeshi, tume, wakurugenzi etc wali support chama tawala.
Naamini kwenye nguvu ya umma ambao inaweza ikawazidi hao uliwataja...\
Yes tukubali mabaya yote na ugumu wa kuitoa CCM
Ila pia tukubali vyama vya siasa havina strategy ya kuitoa CCM madarakani... vyama havina demokrasia, busy kwa hoja za kiudaku, hakuna muda wa kujenga ofisi za matawi na kuhimarisha viongozi wa chini, mgombea uraisi anaokotwa na kuteuliwa last seconds, etc
Ntaungana nawe kutokuwa na solution ila mwandishi ameongelea kutokuwa na strategy ku overcome magumu
Tukana boss ndio namna nzuri ya kupunguza stress.... Na kuonekana ni mpinzani imara....
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
106,839
2,000
When he was still using his brain he knew the truth, but nowadays he is a ZERO BRAIN.

Na huyu hajawahi kuwa upinzani.Kumekuwa na hoja dhaifu sana ambao viongozi wa upinzani huwaaminisha wafuasi wao ili kukwepa kuwa responsible.

Miaka nenda miaka rudi kabla ya uchaguzi upinzani huwaaminisha ushindi wafuasi wao na kuwaahidi watalinda kura hawataibiwa lakini wakishindwa wanadai wanaibiwa.

Je, kwanini wanakubali kushiriki uchaguzi ambao wanajua watadhulumiwa?

Siku zote njia ya kipekee ya ushindi ni kujianda jambo ambalo CCM wanalifanya vizur sio ujanja ujanja wa kuja na propaganda za kuibiwa kura ili hali kunakuwa na mawakala wenu na kama mawakala wanauza kura je mkipewa nchi viongozi si watauza nchi.

Na kama mnaibiwa mbona mnashindwa kupeleka hata nusu ya wabunge wa CCM je hata kama mngeshinda urais mtaundaje serikali bila kuwa na majority bungeni.
 
Alexander The Great

JF-Expert Member
Aug 28, 2018
3,551
2,000
Hoja yako itapatikana majibu yake nchi hii tukiwa na TUME HURU YA UCHAGUZI na KATIBA KUBADILISHWA (Hasa kuruhusu KURA ZA URAIS KUPINGWA MAHAKAMANI).

Hapo ndio SKINNY TIGHT zitakapo wapwaya wana lumumba. Na chupi mkazivaa kwa mikanda ya ngozi.
 
KWADWO ABIMBOLA

JF-Expert Member
Jan 8, 2019
763
1,000
Hii nchi inahitaji ukombozi mpya. Kuna kitu Mungu anataka kuwafundisha watanzania kuwa ni lazima mtoke kajasho kidogo ndipo muheshimiane. Hili haliepukiki. Ni suala la muda tu.

Hii nchi isipokombolewa upya kwa kutumia nguvu haitapiga hatua yoyote ya maana. Watanzania tujiandae kuikomboa nchi yetu kwenye mikono dhalimu ya CCM.

Ipo wazi kabisa kuwa wanaojaribu kufanya siasa za kistaarabu kama CHADEMA na vyama vingine za kuwatii polisi wanapoteza muda. Hata Afrika kusini na kwingineko duniani hawakuifikia demokrasia bila gharama kubwa.

Imefika wakati wa kujifunza siasa za kasi zaidi. Kama upinzani ukinyimwa kibali cha kufanya mkutano mahali, na CCM ikipewa, wafuasi wa upinzani tufanye operesheni maalum za kuzuia hao CCM pia.

Kuvuruga mkutano wa CCM ni kazi ndogo sana. Hata kama mkutano unafanywa na rais, ni lazima uvunjwe na ashindwe kuuendesha huo mkutano mpaka patakapokuwa na uhakika kuwa upinzani utaweza kufanya mikutano bila hila.
 
Kifoi

JF-Expert Member
May 12, 2007
1,156
1,500
Kumekuwa na hoja dhaifu sana ambao viongozi wa upinzani huwaaminisha wafuasi wao ili kukwepa kuwa responsible.

Miaka nenda miaka rudi kabla ya uchaguzi upinzani huwaaminisha ushindi wafuasi wao na kuwaahidi watalinda kura hawataibiwa lakini wakishindwa wanadai wanaibiwa.

Je, kwanini wanakubali kushiriki uchaguzi ambao wanajua watadhulumiwa?

Siku zote njia ya kipekee ya ushindi ni kujianda jambo ambalo CCM wanalifanya vizur sio ujanja ujanja wa kuja na propaganda za kuibiwa kura ili hali kunakuwa na mawakala wenu na kama mawakala wanauza kura je mkipewa nchi viongozi si watauza nchi.

Na kama mnaibiwa mbona mnashindwa kupeleka hata nusu ya wabunge wa CCM je hata kama mngeshinda urais mtaundaje serikali bila kuwa na majority bungeni.
wewe wacha porojo mbona zanzibar watu wanaform zote za kura za ushindi lakini kikwete akaamrisha uchaguzi ufutwe
 
Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
40,180
2,000
ukiangalia kwa jicho moja utaona ugumu tu uliopo kwa upande wa CCM.. na kwa maelezo yako ntaungana nawe kukata tamaa.
Ila kuna nchi zilikuwa hivyo na serikali zao zilikuwa hivyo unavyoona ... ila vikajengwa vyama imara vyenye nia na lengo la kutoa chama tawala madarakani na wakafanikiwa japo jeshi, tume, wakurugenzi etc wali support chama tawala.
Naamini kwenye nguvu ya umma ambao inaweza ikawazidi hao uliwataja...\
Yes tukubali mabaya yote na ugumu wa kuitoa CCM
Ila pia tukubali vyama vya siasa havina strategy ya kuitoa CCM madarakani... vyama havina demokrasia, busy kwa hoja za kiudaku, hakuna muda wa kujenga ofisi za matawi na kuhimarisha viongozi wa chini, mgombea uraisi anaokotwa na kuteuliwa last seconds, etc
Ntaungana nawe kutokuwa na solution ila mwandishi ameongelea kutokuwa na strategy ku overcome magumu
Tukana boss ndio namna nzuri ya kupunguza stress.... Na kuonekana ni mpinzani imara....
Sijawahi kukata tamaa, Nadhani Ulitaka nijibu kwa hoja, nimeweka hoja mezani Mpwa, umekuja na hoja ya kukata tamaa. OK, Nimekuelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yomboo

JF-Expert Member
May 9, 2015
6,236
2,000
Kumekuwa na hoja dhaifu sana ambao viongozi wa upinzani huwaaminisha wafuasi wao ili kukwepa kuwa responsible.

Miaka nenda miaka rudi kabla ya uchaguzi upinzani huwaaminisha ushindi wafuasi wao na kuwaahidi watalinda kura hawataibiwa lakini wakishindwa wanadai wanaibiwa.

Je, kwanini wanakubali kushiriki uchaguzi ambao wanajua watadhulumiwa?

Siku zote njia ya kipekee ya ushindi ni kujianda jambo ambalo CCM wanalifanya vizur sio ujanja ujanja wa kuja na propaganda za kuibiwa kura ili hali kunakuwa na mawakala wenu na kama mawakala wanauza kura je mkipewa nchi viongozi si watauza nchi.

Na kama mnaibiwa mbona mnashindwa kupeleka hata nusu ya wabunge wa CCM je hata kama mngeshinda urais mtaundaje serikali bila kuwa na majority bungeni.
We waonaje??
 
Masenu K Msuya

Verified Member
Jun 20, 2017
1,459
2,000
Hoja yako itapatikana majibu yake nchi hii tukiwa na TUME HURU YA UCHAGUZI na KATIBA KUBADILISHWA (Hasa kuruhusu KURA ZA URAIS KUPINGWA MAHAKAMANI).

Hapo ndio SKINNY TIGHT zitakapo wapwaya wana lumumba. Na chupi mkazivaa kwa mikanda ya ngozi.
mkuu sasa je upinzani umechukua hatua gani kuovercome hayo zaid ya kufuraia ongezeko la ruzuku hawana hoja yenye mashiko zenye lengo la kumsaidia mtanzania zaid ya hoja zenye lengo la kuwanufaisha wao kisiasa
 
Masenu K Msuya

Verified Member
Jun 20, 2017
1,459
2,000
Hii nchi inahitaji ukombozi mpya. Kuna kitu Mungu anataka kuwafundisha watanzania kuwa ni lazima mtoke kajasho kidogo ndipo muheshimiane. Hili haliepukiki. Ni suala la muda tu.

Hii nchi isipokombolewa upya kwa kutumia nguvu haitapiga hatua yoyote ya maana. Watanzania tujiandae kuikomboa nchi yetu kwenye mikono dhalimu ya CCM.

Ipo wazi kabisa kuwa wanaojaribu kufanya siasa za kistaarabu kama CHADEMA na vyama vingine za kuwatii polisi wanapoteza muda. Hata Afrika kusini na kwingineko duniani hawakuifikia demokrasia bila gharama kubwa.

Imefika wakati wa kujifunza siasa za kasi zaidi. Kama upinzani ukinyimwa kibali cha kufanya mkutano mahali, na CCM ikipewa, wafuasi wa upinzani tufanye operesheni maalum za kuzuia hao CCM pia.

Kuvuruga mkutano wa CCM ni kazi ndogo sana. Hata kama mkutano unafanywa na rais, ni lazima uvunjwe na ashindwe kuuendesha huo mkutano mpaka patakapokuwa na uhakika kuwa upinzani utaweza kufanya mikutano bila hila.
mkuu hakuna nchi iliyochukuliwa kwa vurugu ikaendelea kubaki salama na vurugu zisikie nchi jirani ni jukumu la kila mtu kulinda amani kwasababu amani ni bora kuliko ccm,cdm na cuf
 
magnifico

JF-Expert Member
Jan 14, 2013
6,170
2,000
Okay explain this. Jamaa anakimbia na box la kura halafu polisi anamkimbiza, baadae polisi anarudi kituo cha kupigia kura na box tu bila yule jamaa. Nini hiki?!
 
Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
51,080
2,000
Kumekuwa na hoja dhaifu sana ambao viongozi wa upinzani huwaaminisha wafuasi wao ili kukwepa kuwa responsible.

Miaka nenda miaka rudi kabla ya uchaguzi upinzani huwaaminisha ushindi wafuasi wao na kuwaahidi watalinda kura hawataibiwa lakini wakishindwa wanadai wanaibiwa.

Je, kwanini wanakubali kushiriki uchaguzi ambao wanajua watadhulumiwa?

Siku zote njia ya kipekee ya ushindi ni kujianda jambo ambalo CCM wanalifanya vizur sio ujanja ujanja wa kuja na propaganda za kuibiwa kura ili hali kunakuwa na mawakala wenu na kama mawakala wanauza kura je mkipewa nchi viongozi si watauza nchi.

Na kama mnaibiwa mbona mnashindwa kupeleka hata nusu ya wabunge wa CCM je hata kama mngeshinda urais mtaundaje serikali bila kuwa na majority bungeni.
Kamuulize vizuri mama yako baba yako ni nani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
redio

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
2,315
2,000
Kumekuwa na hoja dhaifu sana ambao viongozi wa upinzani huwaaminisha wafuasi wao ili kukwepa kuwa responsible.

Miaka nenda miaka rudi kabla ya uchaguzi upinzani huwaaminisha ushindi wafuasi wao na kuwaahidi watalinda kura hawataibiwa lakini wakishindwa wanadai wanaibiwa.

Je, kwanini wanakubali kushiriki uchaguzi ambao wanajua watadhulumiwa?

Siku zote njia ya kipekee ya ushindi ni kujianda jambo ambalo CCM wanalifanya vizur sio ujanja ujanja wa kuja na propaganda za kuibiwa kura ili hali kunakuwa na mawakala wenu na kama mawakala wanauza kura je mkipewa nchi viongozi si watauza nchi.

Na kama mnaibiwa mbona mnashindwa kupeleka hata nusu ya wabunge wa CCM je hata kama mngeshinda urais mtaundaje serikali bila kuwa na majority bungeni.
Ni mwendawazimu au Nyumbu pekee anaye weza kuamini mgombea wa urais aliyeshindwa katika mchujo wa wagombea wa CCM aje apewe nafasi kugombea kupitia Upinzani alafu ashinde uchaguzi. Yaani Kapi kutoka CCM lije li iangushe CCM.alafu uwaambie wananchi waliopiga kura kwamba tumeshinda ila tumeibiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
7 mchana

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
1,085
2,000
Kumekuwa na hoja dhaifu sana ambao viongozi wa upinzani huwaaminisha wafuasi wao ili kukwepa kuwa responsible.

Miaka nenda miaka rudi kabla ya uchaguzi upinzani huwaaminisha ushindi wafuasi wao na kuwaahidi watalinda kura hawataibiwa lakini wakishindwa wanadai wanaibiwa.

Je, kwanini wanakubali kushiriki uchaguzi ambao wanajua watadhulumiwa?

Siku zote njia ya kipekee ya ushindi ni kujianda jambo ambalo CCM wanalifanya vizur sio ujanja ujanja wa kuja na propaganda za kuibiwa kura ili hali kunakuwa na mawakala wenu na kama mawakala wanauza kura je mkipewa nchi viongozi si watauza nchi.

Na kama mnaibiwa mbona mnashindwa kupeleka hata nusu ya wabunge wa CCM je hata kama mngeshinda urais mtaundaje serikali bila kuwa na majority bungeni.

Mimi huyu Mm nmekuteua umekua mkurunzenzi nyumba nmekupa, gari nmekupa af kwny election utaningazie mpinzan kashinda😁😁
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom