Je, ni kweli wanawake ni wabahili kiasili au ni chimbuko la utandawazi?

Benson kaile

Member
Dec 15, 2013
7
1
9d0f917d6b56f98ab7392e131b024291.jpg
 
Tupeane mawazo pevu maana hali inazidi kuwa mbaya kimaisha..kuna familia zinafika wanawake hata pesa ya mboga ni ngumu kuchangia ila kwenye vipodozi, urembo binafsi na michango ya familia yake yuko mstari wa MBELE!!
 
Au wanaume wanajituma zaidi bila kushirikishana na wenza wao kuhusu matumizi hadi kufikia Wanawake kujitoa!!??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom