Je? Ni kweli wanaume hupenda wanawake wenye matiti makubwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je? Ni kweli wanaume hupenda wanawake wenye matiti makubwa?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Judgement, Sep 19, 2012.

 1. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Jibu ni NDIYO!
  Kwa mujibu wa utafiti wa kisayansi uliofanywa hv karibuni nchini Usa & Great britain, and then kuripotiwa na Jarida la New study, umebainisha kua wanwke wenye matiti makubwa huwasisimua zaidi wanaume kuliko wengine.

  Jane Pincott muandishi wa masuala ya sayansi amekiri ktk kitabu chake cha "DO GENTLEMAN PREFER BRONDES" akaeleza kinagaubaga juu ya research hiyo, kua nguvu ya mvuto wa wanawake wa aina hii ni kubwa na kufafanua kua ina uwezo twicely kuteka hisia za wanaume .
  Hakuna apingae hili .

  Dunia nzima inafahamu husussan wanaume wenyewe!
  "Kigezo cha kwanza kumtambua mwanamke ni matiti !
  Kadri yanavyokua makubwa utambulisho wake nao hukua, na mvuto huongezeka.
  "Mwanamke kua na sura nzuri pekee haitoshelezi"
  Japokua wanaume na hilo la sura nzuri nalo wanalipenda.
  Hata hivyo si jambo liamshalo hisia zao za kimapenzi haraka.

  Tumetafiti na kubaini ukweli huu tunaouleza hapa. Alisema Pincott .
  Timu ya wataalamu iliyohusisha research hiyo ilihusisha zaidi ya wanaume 4,000 kwa kuwaweka kwenye room yenye picha za wanwake wenye matiti makubwa na madogo, ikabainika 79% ya waliotazama wenye matiti makubwa walisisimka haraka .

  Nae Dr. Grazyna wa Havard Un. Aliongeza nyama ktk utafiti wake kwa kusema "Wanawk wenye matiti makubwa wana uwezo wa kushika mimba haraka than wenye madogo!

  Ripoti hii iliyofanywa na watafiti wa nje inaweza kua na ukweli hata kwa wanawake wa ki'Tz ambao wengiwao ktk hizi nyakati za sasa wamekua wakivaa nguo zenye kuacha nje takriban nusu hadi robo3 ya matiti yao, bila ya wao kua na maelezo ya kimsingi sababu gani ya kuacha mititi hivyo.

  Mimi kwa kiasi flani nakubaliana na utafiti huu, kwa sababu za kitaalamu.
  Kwani matiti ni kiungo nyeti na adhimu kiletacho hisia za kimapenzi kwa mwanaume haraka.
  Na matiti yaonekanapo wazi huvutia wanaume na hii haijalishi kama ni madogo au makubwa.
  Hilo halina ubishi.

  Lakini pamoja na ukweli huo, bado ujumla mzima wa muktadha huu tunasema
  "Uzuri na ubaya wa uenekano wa matiti unabaki kwenye macho ya mwanaume mtazamaji husika" Kwani wapo wanaume wapendao matiti madogo kuliko makubwa.

  Na ukweli unabaki kua matiti ya mwanamke kivyovyote yatabaki kua ni nyenzo ya kuamsha hisia za kimapenzi kwa mwanaume , na hii inaleta maana kwamba hata mwenye matiti madogo akiyaacha wazi atakua amekifanya kilekile alichokifanya mwenye matiti makubwa aliyeyaacha wazi .
  Source - vyanzo maalumu vya hapahapa nchini.
  Nimeifumania sehemu makala hii nikaibeba kuileta hapa.
  Judgement .
   
 2. beibe nasty

  beibe nasty JF-Expert Member

  #2
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 1,648
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  haya my hubby mekupata
   
 3. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #3
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  am suprise 100% on this late hrs !
  Mmmh !
  It means ?
   
 4. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #4
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Unazungumzia kupenda au kusisimuliwa?
   
 5. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #5
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Vyote!
   
 6. Timtim

  Timtim JF-Expert Member

  #6
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 603
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 45
  Hizo tafiti za majuu. Nadhani kwetu Africa ni tofauti sababu wanaume wengi zaidi wanapenda wanawake wadogo kuliko yeye kunenepa. Africa tunapenda shepu ya katikati zaidi ya kifuani.
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,507
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Wewe unakeshea jf ukiwaza manyonyo, unategemea yeye abembelezwe na nani kulala? Talaka inakunukia, utakosa kulea kichanga kakangu.
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Sep 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Kwa wazungu tu ila waafrika nope!!! Labda kusisimua lkn ktk kupenda waafrika wanapenda kama ya muke ya muzungu yaliyosimama aka saa 6.
   
 9. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #9
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Hujamaliza mji wewe.
  Kuna maeneo mengine hawataki kbs kitu cha Konzi,wanataka kitu kama cha Jordan,na maisha yanaendelea kama kawa chini ya jua.
   
 10. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #10
  Sep 19, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Mdogo wangu,
  hv yale yako uliyaongeza?
  Maana namuona Shem wangu kaja na spidi zote.
  BTW mzima kabisa!
   
 11. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #11
  Sep 19, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  ama kweli hiki kizazi cha chupi kina taabu kweli kweli?? Zamani ilikuwa ili kuona matiti lazima uvue shidilia lakini sasa hivi mambo chechede unakula kitu LIVE bila chenga
   
 12. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #12
  Sep 19, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  wanaumeeee
   
 13. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #13
  Sep 19, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kweli kabisa na inaonekana utafiti umefanywa kwa kutumia specimen za nuds hasa wale big tits and butts
   
 14. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #14
  Sep 19, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  heeeeeeeeeee.......
   
 15. Ngongoseke

  Ngongoseke JF-Expert Member

  #15
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 3,212
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mimi sipo kwenye hilo kundi la wapenda maziwa makubwa' Dah kichenchede changu aah saa 6 kabisa kitoto kinavutia mweeh!! Yanini kama ya Quen latifa au khadija yusuf nooo!!!
   
 16. W

  Wajad JF-Expert Member

  #16
  Sep 19, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 1,123
  Likes Received: 293
  Trophy Points: 180
  Chezeiya tikitimaji wee!!!
  Wapi mzee asprin atuwekee sampo za picha hapa! Lakini zisiwe kama za akina betina na asha ngedere.
   
 17. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #17
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Mi nadhani yanasisimua, ila kupenda ni kitu kingine.
   
 18. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #18
  Sep 19, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,884
  Likes Received: 4,735
  Trophy Points: 280
  6:00 is my all time favourite
   
 19. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #19
  Sep 19, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Waende zao huko na tafiti zao,mimi baba wa Kisukuma uniletee habari ya matiti wapi na wapi..??Mwanamke anayenisisimua ni yule awezaye kusonga ugali nikala nakushiba hayo mengine yaliyobaki kwangu ni anasa tu...-
   
 20. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #20
  Sep 19, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh.
   
Loading...