Je ni kweli walikuwa wanakwenda kwa mganga mmoja?

kina nani??maana napata mawazo mengine kichwani mwangu juu ya swali lako ambayo mawazo hayo sio mazuri..swali lako limekaa kimtego mno hebu liweke wazi kidoogo
 
Vipi tena Hasara, kwanini usiseme tu unachokijua au ulichokisikia badala ya kuja na "hadisi, hadisi", "hadisi njoo"....
 
hahahaha ! huyo ndo hasara , hoja inaanza bila kiima wala kiarifu hapa nilipo nimechanga changanyikiwa, Mkuu Hasara hebu elezea bana una maana gani?.
 
Hawa wanaCCM wote, akiwepo Mathayo, Marehemu na Sumaye ni wagombea wa NEC Taifa kwenye Kapu tofauti,,, kwa hiyo hilo ni wazi walikuwa kwenye kampeni,,, kama wanaweza leta lugha nyingine sawa lakini itakuwa kazi ngumu kutenganisha kampenzi za uchaguzi na shughuli yoyote waliokuwa wameenda kufanya....
 
Walikuwa wakienda Tunduru kuwaelimisha wananchi kuhusu mfumo mpya wa ununuzi wa korosho, ambao umezua vurugu kule kusini.
 
Walikuwa wakienda Tunduru kuwaelimisha wananchi kuhusu mfumo mpya wa ununuzi wa korosho, ambao umezua vurugu kule kusini.

Ni akina nani hao? maana Hasara hajapenda kuwataja majina ila naona watu washafikia mwaafaka. Hasara upo online hebu tujibu ni akinanani unao maanisha?
 
Ah! Kumbe Hasara! Wala sishangai nimeshamzoea. Inaamaaana na Mh. Zitto nae alikuwa anakwenda huko huko kwa mujibu wa Hasara? Kwani yeye naye Zitto NEC inamhusu nini au ndio Kampeni zake za 2015 KUINGIA CCM ANAANZA MAPEMA?
 
mmmmmmmmmmmmmmmmhhhhhh!!!! maswali mengine,napata majibu yasiyo na maswali, au NEC-CCM
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom