Je ni kweli wadada above 30+ huingia kwenye ndoa ili kutoa nuksi na mikosi katika familia?

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
Je ni kweli wadada wengi wenye umri kuanzia 30 na kuendelea ambao wengi wao wapo single inapofika stage ya kutafuta ndoa au mume wa ndoa wengi wao huingia katika ndoa kwa nia ya kutoa nuksi na mkosi ndani ya familia ili mradi na yeye aonekane kaolewa

Lakini yule anamuowa huwa hana mapenzi ya kweli ila kilichompeleka pale ni ndoa tuu illi kutoa nuksii tuu

Je ni kweli
 
Mi sijui kama ni kweli au laah!

Cha muhimu kwao kuzingatia ni kwamba,ndoa ni kagereza kadogo iwapo utaolewa na mtu ambae hamfanani (bond&chemistry)imegoma

Lakini ndoa ni tamu sana ukiolewa na soulmate wako!
 
Si menopause inakua karibu inawanyelea so wanahofu kuzeeka bila katoto, na watafiti wa huku JF niliona wanasema eti wenye 30's ndiyo wanakua wa genye za karibu muda wote..
tapatalk_-1305855493.jpg
 
Back
Top Bottom