Je, ni kweli ukombozi wetu bado? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, ni kweli ukombozi wetu bado?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Konakali, Nov 1, 2010.

 1. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Kwa kweli adui, UJINGA bado unatukaba koo na hivyo ukombozi wetu bado ni mbali; Nasikitika sana watanzania kuonesha kwa vitendo kukubaliana na kauli zifuatazo:

  1. Wanaopata mimba na ukimwi ni viherehere...!
  2. Watumishi wa umme, bora mbayuwayu...!
  3. Lowasa, mramba..., ni wachapakazi na ni watu safi!
  4. Elimu bure haiwezekani...!
  5. Sizungumzi na watumishi, hadi wapate ngeu...!
  6. Ushindi kwa CCM ni lazima, na wala si ridhaa ya watanzania...!
  7. Wazee wastaafu, wamwagiwe tindikali, maji ya kuwasha...!
  8. nk.
   
Loading...