Je ni kweli ukinanii na Mwanamke aliyetoka kutoa mimba unapata madhara ki afya?

Jan-uary

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
967
1,015
Swali langu ni hilo,tunasikia mengi mitaani,Mara fulani alikufa kwa sababu alinaniii na nanii,Mara mara fulani kavimba mapu... kwasasa kananii na Mwanamke ambaye ameporomosha mimba,wataalam nisaidieni nisiyejua nipate kujua.
 
Labda kama bado uchafu unaendelea kutoka yani ikiwa hajasafishwa ipasavyo, yeye atapata maumivu na side effects.
Nawewe pia utapata maradhi kutokana na uchafu unaotoka kuwa umebeba bakteria.
Ila kama akiwa safi sidhani kama kuna shida yeyote..
 
Asante,ni maradhi yapi unayoweza kuyapata?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom