Je ni kweli,ukimwi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ni kweli,ukimwi?

Discussion in 'JF Doctor' started by Good Guy, Dec 11, 2010.

 1. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Jama hivi ukimwi unaweza kuambukizwa kupitia mashine za kunyolea nywele?nimeshackia tangu zamani ila cna uhakika.Na je kiruc cha ukimwi kikiingia kwenye kinywa na kwenda tumboni bila kukutana na mchubuko mdomoni unaweza kuambukizwa?
   
 2. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #2
  Dec 11, 2010
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Kwani kirusi kina shida gani ya kwenda tumboni bob? Chenyewe mradi kikutane na damu kama ni kichwani au popote chenyewe kitaweka kambi mtu wangu. Pia uwezekano wa kupata ukimwi kwa kunyoa salon upo hivyo chukua tahadhari nenda kwenye salon ambazo wana-sterilize vyombo vyao vya kunyolea.
   
 3. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #3
  Dec 12, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Lets say mayb umekunywa maji ambaye kanywa muathirika akaacha salivary fluid unawezapata AIDS kama huna kidonda mdomoni?.Dah aise kama pocbility ipo ya kuukwaa saloon mbona inatisha mazee.
   
Loading...