Je, ni kweli ukifanya maandalizi mazuri wakati wa kufanya mapenzi unaweza usipate UKIMWI?

TEMBOPHD990

Member
Dec 23, 2018
15
75
Ni muda mrefu sana ndugu sijawasabahi,
Nawasalimu kwa jina la bwana,

Twende kwenye point sasa.

Ni hivi kuna siku niliwai kuskia kuwa kama mwanamke akiwa na maambukizi ya Ukimwi (positiv) alafu (mwanaume ana yaan (negative) ukaitaji kushiriki nae tendo (+18) Ili usiwe na probability ya maambukizi ni vema kumuuandaa vema mwanamke.

Hii imekaaje?
 
Ukimwi siku hizi amezidiwa nguvu Hadi na Corona.. nina miaka sijaona mtu kafa kwa ukimwi!

Ukimwi umefubaa hautoi ashabu Kama longi time.
 
Ukimwandaa vizuri ina maanisha atatoa utelezi mwingi, so michubuko haitokuwepo kama pia mwanaume hatokamia, michubuko isipokuwepo basi chansi ya kupata Ukimwi nayo inapungua sana.
 
Ukimwi siku hizi amezidiwa nguvu Hadi na Corona.. nna miaka sijaona mtu kafa kwa ukimwi!

Ukimwi umefubaa hautoi ashabu Kama longi time.
Ukimwi old model ulikua balaa, mara mkanda wa jeshi mara kuhara x62 kwa wiki, mara homa, TB, yani magonjwa mlipuko yote lazima upite nayo. Lakini leo hata Ukingia huusikii.
 
Ukimwi old model ulikua balaa, mara mkanda wa jeshi mara kuhara x62 kwa wiki, mara homa, TB, yani magonjwa mlipuko yote lazima upite nayo. Lakini leo hata Ukingia huusikii.
Ukimwi ni ule ule.
Kilichotokea ni waathirika wengi kuhamasika sana kutumia ARV jambo ambalo linafubaza sana virusi.
Ukibanjuana na muathirika anayetumia vizuri dawa, uwezekano wa kuambukizwa ni mdogo sana.
Ukikutana na ambaye hatumii moto wake ni ule ule.

Ukimwi bado upo..usiuchukulie poa!
 
Ni muda mrefu sana ndugu sijawasabahi,
Nawasalimu kwa jina la bwana,

Twende kwenye point sasa.

Ni hivi kuna siku niliwai kuskia kuwa kama mwanamke akiwa na maambukizi ya Ukimwi (positiv) alafu (mwanaume ana yaan (negative) ukaitaji kushiriki nae tendo (+18) Ili usiwe na probability ya maambukizi ni vema kumuuandaa vema mwanamke.

Hii imekaaje?
Kama unakula kamoja tu kale ka dakika 5 sawa...lakini kama ni mkamia mechi na unataka 3 bila risk ni kubwa zaidi hata uwe umemuandaa nususaa
 
Unapata virusi vya ukimwi endapo damu iliyoathirika ikaingia mwilini wako, katika kwichikwichi kama kukitokea michubuko kwa wote basi 100% unakua umeingia kwenye gridi ya taifa.... Kumuandaa au kutomuanda hakuhusiani na kutopata au kupata!! Issue ni michubuko unaweza ukamuandaa akatoa utelezi baada ya pipe utelezi ukakauka na kuanza friction.
 
Unaweza ambukizwa HIV hata wakati wa maandalizi tu kabla ya kuingiza mashine! Labda uvae condom za vidoleni na kwenye ulimi
 
Back
Top Bottom