Je, ni kweli Tume ya Taifa ya uchaguzi ni muhimili huru au ni Taasisi ya Serikali

BRIGHTFAME1

Member
May 29, 2014
8
1
My Noble people, (JF)
Ikiwa Taifa letu ni moja ya nchi yenye kufuata demokrasia na mfumo wa vyama vingi tangu mwaka 1992, Baada ya ukusanyajwi wa maoni / mapendekezo ya mfumo gani wa kisiasa utumike katika Taifa letu yaani mfumo wa Chama kimoja au vyama vingi, chini ya kamati iliyoendeshwa na Mwenyekiti Nyalali CJ, hivyo kupelekea uudwaji wa chombo hicho/ Taasisi hyo ya Tume ya Taifa ya uchaguzi katika kuratibu,usimamizi na uendeshaji wa shughuri zote za Uchaguzi, (Ibara ya 74 Ibara ndogo ya (7),(11),(12) C.U.R.T 1977 pamoja na kifungu no 4(2) ,, Election act no 1 1985 R:E 2002.)

Hivyo swali langu kwenu, Je tokea kuanzishwa kwa hikii chombo / Taasisi ya Tume ya uchaguzi kimefanikiwa katika shughuri zake Kama chombo huru na Cha haki?
Je sheria imefanikiwa kutoa kipimo sahihi( Basic Test) kwa uhuru na haki was chombo hikii katika shughuri zake za uendeshaji wa Uchaguzi!!?

Ukizingatia utaratibu au mchakato wa upatikanaji wa wajumbe wake utegemea na uteuzi wa kiongoz mkuu wa serikali/ nchi(Raisi), Na pia Bajeti yake upangw!

Karibuni , kutoa michango yetu,Tukiongozwa na misingi ya umoja na uzalendo wa Taifa letu!
@auspiciousrn #defender of just and savior of God#
 
Back
Top Bottom