Je ni Kweli TID Anamroga Q Chief? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ni Kweli TID Anamroga Q Chief?

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Bujibuji, Apr 9, 2010.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,169
  Trophy Points: 280
  Wasanii wetu wa muziki wa kizazi kipya huwa hawaishiwi mambo na majambo.
  Ni muda mrefu sasa tumekuwa tukisikia Q Chief akimtuhumu kwenye vyombo vya habari T.I.D kuwa ndiye anayeisiliba nyota yake ya kuwika.
  Swali la kujiuliza ni hili, mbona naye T. I. D hawiki kama zamani? Je ni nani anayemroga?
  Mi nadhani mchawi wao wenyewe. Kila mtu anajiroga kwa kurika na mafanikio kidogo waliyoyapata huko nyuma, wakavimbisha vichwa na kulemaa.
  Sasa imeibuka damu changa ambayo iko very creative, wanamasauti hao na ma style ya kufa mtu.
  Wabadilike wakaze msuli watatoka. Waache kusingizia na kupakazuiana uchawi.
   
 2. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Hahahaha hivi hawa watoto wanamatatizo badala ya kufikilia kufanya mambo mapya na ubunifu wanawaza kulogana gosh...................................
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Urozi ni sehemu ya maisha ya kila siku kwa baadhi ya wabongo!...Akiugua anawaza kurogwa, akishindwa kuachieve kitu anawaza urozi...Labda anamroga kwa mbinu za kisasa na mipangilio mizuri ya kikundi chake!
   
 4. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  ni heri mtu ufilisike pesa na mali, lakini si akili,
  hekima na mtazamo, mi nadhani nyakati zimeish wapita,
  sasa wanatapatapa tu ili wawe karibu na waandishi wa habari
   
 5. D

  Dotori JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2010
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 547
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  .....Na waandishi wa habari wanashabikia, kunyweshea na kustawisha mambo kama haya.....
   
 6. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #6
  Apr 9, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Walidhani kubakia juu mchezo?
  Kukwea juu si kazi kazi ni ku sustain.
  Ulozi ni kisingizio au ni sababu ya haraka wanaoitumia kujitetea kwanini wamefulia.
   
 7. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #7
  Apr 9, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Je na hili sakata la Mr. Nice na H- baba nao ni kufa kisanii.
   
Loading...