Hujamwelewa mleta mada!Mbwa hana thamani kama binadamu. Usimfananishe binadam na vitu vya kijinga.
Lakini mbwa alikuwa mikononi mwao
Mkuu, unawaza sana!Nimesikia Waziri akimtafuta mbwa aliyepotea kwa nguvu zote.
Kuna watu wengi wamepotea lakini hatusikii wakitafutwa kama huyu mbwa anavyotafutwa.
Waliopotea ni wengi kama Azori Gwanda na Ben saanane.
Sasa sijui hii imekaaje ?
Mbwa wa Polisi ni Askari mwenye haki zote kama Askari,anaingia shift ama mchana au usiku kama kawaida ya Askari. Ukifika umri wa mbwa kustaafu anastaafishwa kama kawaida. Bado mbwa huyo alikuwa mikononi mwa Askari Watu, kwa nini asionekane na amekwenda wapi? Binadamu kupotea ni suala lingine maana wao wana utashi na huwezi kuwachunga tofauti na mbwa...!!Nimesikia Waziri akimtafuta mbwa aliyepotea kwa nguvu zote.
Kuna watu wengi wamepotea lakini hatusikii wakitafutwa kama huyu mbwa anavyotafutwa.
Waliopotea ni wengi kama Azori Gwanda na Ben saanane.
Sasa sijui hii imekaaje ?
Tofauti tu ni kwamba halipwi mafao.Mbwa wa Polisi ni Askari mwenye haki zote kama Askari,anaingia shift ama mchana au usiku kama kawaida ya Askari. Ukifika umri wa mbwa kustaafu anastaafishwa kama kawaida. Bado mbwa huyo alikuwa mikononi mwa Askari Watu, kwa nini asionekane na amekwenda wapi? Binadamu kupotea ni suala lingine maana wao wana utashi na huwezi kuwachunga tofauti na mbwa...!!
kwa hiyo akistaafu analipwa mafao? unamjua mbwa? unaweza kumlinganisha kwa vyovyote vile na wewe? (binadamu)? acheni unafiki nyie watu. hoja ni kwamba mbwa anatafutwa kwa nguvu kuliko binadamu? ni huyu wazir mpuuzi alosema hawatafuti binadamu kwakuwa hawajui alipoenda? umesahau na hilo???Mbwa wa Polisi ni Askari mwenye haki zote kama Askari,anaingia shift ama mchana au usiku kama kawaida ya Askari. Ukifika umri wa mbwa kustaafu anastaafishwa kama kawaida. Bado mbwa huyo alikuwa mikononi mwa Askari Watu, kwa nini asionekane na amekwenda wapi? Binadamu kupotea ni suala lingine maana wao wana utashi na huwezi kuwachunga tofauti na mbwa...!!
uunaikumbuka story ya Anzory gwanda? unajua alifwatwa na gari gani kwake? acha unafiki. mungu hapendi unafiki kama huu wakoHao binadamu walikuwa mikononi mwa Polisi? Tuanzie hapo.
Uliiona hiyo gari na INAMILIKIWA na nani? usihukumu watu kwa hadithi za kusimuliwa na Mangekimambi? Sie tunajua Mbwa ni wa Polisi, ana Master wake anayemuhudumu ndio mahali pa kuanzia.uunaikumbuka story ya Anzory gwanda? unajua alifwatwa na gari gani kwake? acha unafiki. mungu hapendi unafiki kama huu wako
Askari (Mbwa) lazima atafutwe na apatikane,kama wewe ni mmoja wa wanaokodisha mbwa kinyemela imekula kwako. Hata wewe unaweza kusaidia kuwatafuta watu waliopote au kama unazo taarifa zao zilete tutazifanyia kazikwa hiyo akistaafu analipwa mafao? unamjua mbwa? unaweza kumlinganisha kwa vyovyote vile na wewe? (binadamu)? acheni unafiki nyie watu. hoja ni kwamba mbwa anatafutwa kwa nguvu kuliko binadamu? ni huyu wazir mpuuzi alosema hawatafuti binadamu kwakuwa hawajui alipoenda? umesahau na hilo???