Je ni kweli tanzania kuna amani ya kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ni kweli tanzania kuna amani ya kweli?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by sindano butu, Aug 28, 2012.

 1. sindano butu

  sindano butu JF-Expert Member

  #1
  Aug 28, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 444
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Mtu anakuwa na amani kama ametulia kwenye akili. Ni mtulizo wa akili mtu hapo tunasema ana amani.HUMU tanzania hamna amani kwasababu nyingi. mifano:  1)ela yetu haina thamani 2)polisi kuwakandamiza wananchi pale wanapotaka kupata haki zao 3)wananchi kunyimwa haki zao na MAHAKAMA YA KISUTU  4)matokeo ya form four ni mabovu sijawahi kuona 5) watawala wanachukulia liwalo na liwe hata kama uhai wa watu huko hatarini 6) kufungiwa kwa magazeti yanayotoboa siri. KWA HIYO JAMANI TANZAN HAMNA AMANI bali kunaamani ya kichina. Mi nashangaa polisi wanadiriki kusema eti maandamo yenu yatahatarisha amani wakati WALIOHATARISHA AMANI NI WATAWALA na kifikra wanatakiwa wawatumie FFU WATAWALA!
   
 2. sindano butu

  sindano butu JF-Expert Member

  #2
  Aug 28, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 444
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Mtu anakuwa na amani kama ametulia kwenye akili. Ni mtulizo wa akili mtu hapo tunasema ana amani.HUMU tanzania hamna amani kwasababu nyingi. mifano:  1)ela yetu haina thamani 2)polisi kuwakandamiza wananchi pale wanapotaka kupata haki zao 3)wananchi kunyimwa haki zao na MAHAKAMA YA KISUTU  4)matokeo ya form four ni mabovu sijawahi kuona 5) watawala wanachukulia liwalo na liwe hata kama uhai wa watu huko hatarini 6) kufungiwa kwa magazeti yanayotoboa siri. KWA HIYO JAMANI TANZAN HAMNA AMANI bali kunaamani ya kichina. Mi nashangaa polisi wanadiriki kusema eti maandamo yenu yatahatarisha amani wakati WALIOHATARISHA AMANI NI WATAWALA na kifikra wanatakiwa wawatumie FFU WATAWALA!
   
 3. kupe

  kupe JF-Expert Member

  #3
  Aug 28, 2012
  Joined: Jul 26, 2012
  Messages: 1,024
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  mtu mwenye njaa + madeni ,hawezi kuwa na amani hata siku moja .haya funga hoja yako.
   
 4. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #4
  Aug 28, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mkuu heading yako ilinifanya ni hisi haupo tz ila thankx nimekuelewa.
   
 5. sindano butu

  sindano butu JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 20, 2012
  Messages: 444
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Acha zako wewe unazania mimi ni mwanahalisi au labda umetumwa na usalama wa IKULU! Unataka nifunge hoja yangu wewe kama nani? kama unapepo la kova au pepo la USALAMA WA IKULU hapa kwenye jamii forum atutoi maombi. UNAWRZA UKAWA NA MADENI NA NJAA bila kupoteza amani. lakini mi nazungumzia amani ya kiakili ambako mtu anakuwa na hope .KUWA NA HOPE NI MSINGI wa amani .
   
 6. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #6
  Sep 6, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,251
  Likes Received: 15,057
  Trophy Points: 280
  Tujiulize kwa kina kama nchi yetu ni kisiwa cha amani ama la.
  Kama Tanzania ni kisiwa cha amani je ni kwa watu gani?
  Kama tunaona haturidhiki na majibu yatokanayo mioyoni mwetu je tuchukue hatua gani?
   
 7. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #7
  Sep 6, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Nguvu ya umma ndo itakayorudisha heshima kwa watanzania na democrasia ya kweli
   
 8. Ja60

  Ja60 Senior Member

  #8
  Sep 7, 2012
  Joined: Aug 5, 2012
  Messages: 195
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 45
  Kwa hali ilivyo sasa nchni ni kujidanganya tukisema tuna amani ili hali tunaona mauaji, migomo na mambo mengine kibao yanayoashiria kukosekana kwa amani.!
  Kwa ilivyo sasa nchini amani imetoweka na kilichobaki ni utulivu tu na kama tusipochukua hatua hata huo utulivu tutaupoteza.
   
 9. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #9
  Sep 7, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,834
  Likes Received: 1,287
  Trophy Points: 280
  Amani ipo midomoni mwa viongozi wa ccm na watoto zao ambao ndio wengi hapa jf kwaajili ya kuwatetea Kama zomba, Ritz, Rejao, Chama na Majebere
   
 10. f

  filonos JF-Expert Member

  #10
  Sep 7, 2012
  Joined: Oct 13, 2011
  Messages: 651
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  kama vigezo vya Amani PESA KUTOKUA NA MADENI basi Eurupe America Japan huko hakuna amani milele kwani ni wadaiwa sug
   
 11. Borat69

  Borat69 JF-Expert Member

  #11
  Sep 7, 2012
  Joined: Jun 17, 2012
  Messages: 2,536
  Likes Received: 1,211
  Trophy Points: 280
  Mkuu,
  Unaulizia tende na halua kwa Mchungaji Mama Lwakatare? Au unaulizia Divai na mkate wa Roho mtakatifu kwa Sheikh Ponda?
   
Loading...