FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 37,895
- 43,782
Na Kama ni kweli, kwanini walipe kodi ya pango kwenye jengo lao wenyewe?!
tatizo ni kwamba hiyo pesa analipwa mtu binafsi, inashangaza sanaKwani wewe hauwezi kujikopesha mkuu? Wahasibu waje kutusaidia hapo. Sijajua msingi wa swali lako japo najua lina maana.
Nafikiri wanafanya kama vile wangekua wanalipa kodi wangekua wanalipa hiyo pesa na kwa vile walitumia pesa kiasi f..............waliyotumia kujenga, huenda walikopa wakati wa hujenzi, nchi ya watu hii mkuu!!
tatizo ni kwamba hiyo pesa analipwa mtu binafsi, inashangaza sana
tatizo ni kwamba hiyo pesa analipwa mtu binafsi, inashangaza sana
Jengo la ubungo lina mwenyewe . na lipo kwa reserve ya barababa.uliza vizuri
labda Tanesco Tegeta ndio jengo la kukodiwa
sio ubungo
mtaje basil
Jengo la ubungo lina mwenyewe . na lipo kwa reserve ya barababa.
Ila cha ajabu wanalipia kodi ya pango mali yao wenyeweStory tu za vijiweni
Tanesco wana kodi majengo ya ofisi za mikoani na wilayani
makao makuu ni mali yao