Je, ni kweli pasipo Chama, Simba hawawezi kupata matokeo?

Nsam

JF-Expert Member
Oct 25, 2018
212
286
Kila mechi anayokosekana chama Simba inapata ugumu sana wa kupata matokeo chanya?

Lakini anapoingia Chama tu basi matokeo huonekana.

Je, chama ni Simba chanya?

Je, kama ni hivyo Simba wamemuandaa mchezaj gan mbadala wa chama kwa baadaye kama tujuavyo mpira huwa unampotea mtu kulingana na umri!

Nimewalisha! Kipi Simba wafanye kumpata mbadala wa Chama na Luis kwa kuwa muda wao Simba pia ni mdgo na wataondoka.
 
Alikuwepo Ramadhani Leni, akaja Husen Masha,na wengineo na Simba ikawa safi kabisa, usihofu mbadala atapatikana tu kipindi itafika.

Kumbuka kitaalamu lazima kuwepo na mwongozaji wa kudi hii hutokea mahala popote hasa kwenye mchezo ambao unategemea kikundi cha watu, tofauti na Ngumi.

Yanga walikuwa na Makumbi juma homa ya jiji, alipotoka timu haikufa ikasonga. RTC Kagera walikuwa na kipa Kichochi lemba alipo toka mambo yalisonga. Ikifika wakati wake mbadala atapatikana tu mkuu usihofu.
 
Simba walikuwa pia na Kichuya....tehtehteh
 
Simba kujua kuwa inamtegemea Chama ni faida kubwa sana kwa timu sababu watajua wafanye nini asipokuwepo kuliko timu inayomtegemea mchezaji atakae amka vizuri.
NB: Idadi ya magoli timu inayofunga itaonesha kama timu ina key player au inategemea mpaka waamke vizuri.
 
Kwani uongo ndugu zangu mashabiki wa mikia?? 😁 😁 chama ndo simba mwenyewe kama hujui, kahata sasa hivi ni "digidigi" na sio simba teynaa
 
Kocha Wetu Wa Simba Abadirike Tuu Ligi Ya Mabingwa Haihitaji Kumchezesha Striker mmoja Kama Anavyo Fanya. Awacheze Wawili

Na Waza Kikosi Cha Sahizi Cha Simba Angekipata UCHEBE sijui Ingekuwaje tungekuwa Tunashinda hata 10
 
Hayo ni mawazo yako, uhalisia hauko hivyo.
 
Alikuwepo Ramadhani Leni, akaja Husen Masha,na wengineo na Simba ikawa safi kabisa, usihofu mbadala atapatikana tu kipindi itafika.

Kumbuka kitaalamu lazima kuwepo na mwongozaji wa kudi hii hutokea mahala popote hasa kwenye mchezo ambao unategemea kikundi cha watu, tofauti na Ngumi.

Yanga walikuwa na Makumbi juma homa ya jiji, alipotoka timu haikufa ikasonga. RTC Kagera walikuwa na kipa Kichochi lemba alipo toka mambo yalisonga. Ikifika wakati wake mbadala atapatikana tu mkuu usihofu.
Chama yupi au yule wa Utopolo?
IMG-20201213-WA0003.jpg
 
Back
Top Bottom