Je ni kweli nyoka anishi milele?

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,481
1,364
wana jamvi ningependa mnijuze eti ni kweli nyoka anaishi milele endapo hatokabiliana na adui yeyote atakaemuuwa? maana nimelisikia hili kutoka sehemu isiyo rasmi ila ningependa kwa anaejua anijulishe....
 
Kiumbe anayeishi miaka mingi ni Kobe, anaweza ishi mpaka miaka 1000. Nyoka anaishi kati ya miaka 20 mpaka 50. Tembelea wikipedia utapata maelezo mazuri.
 
Back
Top Bottom