Je,ni kweli NGIRI(Henia) usababisa Uume kuwa mdogo ama Tetesi Tu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je,ni kweli NGIRI(Henia) usababisa Uume kuwa mdogo ama Tetesi Tu?

Discussion in 'JF Doctor' started by Kisoda2, Jun 20, 2009.

 1. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,240
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Kuna maneno mengi yanasema juu ya hilo.Ningependa kupata ufafanuzi wa mambo yafuatayo kuhusiana na maradhi ya NGIRI kwa wanaume.
  1.Je,yanaweza sababisha uume kuwa mgogo?
  2.Yana madhara gani katika tendo la ndoa mfano kukosa hamu,kuchoka nk.

  Mdau Kisoda2
   
 2. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,240
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Msaada tafadhali kuhusiana na yafuatayo:
  1.Ugonjwa wa ngiri kwa mwanaume unasababisha uume kutokua(mdogo)
  2.Je,ni madhara gani yapo katika suala zima la tendo la ndoa?


  Mdau
  Kisoda2
   
 3. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #3
  Jun 20, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2009
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2011
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,608
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,055
  Likes Received: 6,498
  Trophy Points: 280
  Mmh, maswali mengine do.
   
 7. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #7
  Sep 2, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,519
  Likes Received: 1,689
  Trophy Points: 280
  Kuna ngiri ambayo haisababishi mshipa kwa maana ya busha ila inatokea kipindi cha baridi hasa mikoa ya Pwani, hii husababisha hamu ya tendo la ndoa isiwepo pamoja na nguvu za kiume kupungua
   
 8. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #8
  Sep 2, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,992
  Likes Received: 2,649
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Sawa na tiba yake ni nini?
   
 9. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #9
  Sep 2, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mtoa maada una henia nini unaogopa kuoa utagongewa
   
Loading...