platoon commander
Member
- Jun 16, 2019
- 14
- 18
“Katika kipindi cha miaka mitano wameajiriwa walimu 300,000 hivi karibuni tulitangaza nafasi 8,000 na tunatarajia kutangaza ajira nyingine 5,000 za walimu. Tunataka suala la elimu lizingatiwe, nchi yenye kuthamini elimu ndiyo yenye nia ya kweli ya kuendelea,”
Hayo yamesemwa na Magufuri alipokuwa akizungumza na wanafunzi wa sekondari bukoba kwenye ziara yake mkoani kagera.
Je, ni kweli ndani ya miaka mitano serikali imeajiri walimu laki tatu?
Takwimu zinaonyesha awamu ya tano tangu ilipoingia madarakani imeajiri walimu 24,369 tu katika mchanganuo ufuatao
2016 haikutoa ajira
2017 iliajiri walimu 3,081 wa msingi na sekondari. Ikaajiri wengine 1537 wa sayansi na hisabati. JUMLA: 4618
2018 iliajiri walimu 4840 wa msingi na sekondari na wengine 2160 wa sayansi na hisabati. JUMLA: 7000
2019 iliajiri walimu 4549
2020 iliajiri walimu 8202
JUMLA KUU 2015- 2020: 24,369 ndio wameajiriwa. Hao laki tatu anaosema mkuu wa kaya wameajiriwa lini?