Je ni kweli Nape ni vuvuzela la ccm?

Kaseko

Senior Member
Feb 15, 2011
160
32
kijana mwenzetu Nape anashindwa kusema mikakati yao ambayo wanatarajia kuwakomboa watanzania amekaria kusifia chama na kujibu hoja atajibu mpaka lini, kwa maana wamegundua kuwa chama chao kilikiwa na mapungufu makubwa wakaamua kujivua magamba je wataweza kuhimiri vishindo vya wapinzani wao ambao tayari wameisha watikisa nalo hilo gamc jipya?
 
Huo ni mwitikio wa rais JK kuwaambia kila wizara iseme wakati akifungua semina elekezi Dodoma. Hivyo angalia kila hoja itayotolewa saizi na CDM ni laima itolewe majibu hata ni ya uongo lengo ni kuwachanya wananchi ambao walishaanza kuamini hoja zinazotolewa na CDM nyingi ni kweli na kukiacha chama cha CCM katika chuki kubwa na wananchi.
Sijui kama mkakati huu utazaa matunda maana nao CCM saizi wameanza kuwatupia lawama CDM kashfa mbali mbali ili nao wanuke mbele ya jamii. Kashfa ya Zitto imejibiwa na TRA hapa :: IPPMEDIA na siyo hiyo tu bali kila hoja itayotolewa saizi ni wazi kabisa mtasikia majibu. CCM imegundua kimya kimewagharimu.
 
nAPE NI SAWA NA TOU ZA WATOTO
JK ANAMCHEZEA ANAVYOTAKA.
NADHANI HATA HUO UKUU WA WILAYA MASASI ALIPEWA KWA KUKOSA MTU WA KWENDA HUKO
MAANA WANA CCM WENGI WANATAKA VITUO VYA DAR,
HATA HII KAZI ALIYONAYO SASA SIDHANI KAMA KUNA MTU ALIKUWA ANAITAKA ,
CCM WENYE WAMEFANYA UTAFITI WA KISAYANSI NA MATOKEO YAKE WAMESEMA HAWA MVUTO, HIVYO WANAJUA
ANAKUNA MTU ANATAKA KUWASIKILI NGONJERA ZAO,
SASA NANI WAKUFANYA HIYO KAZI KUNYIMA USINGIZI KAMA SIO NAPE MWENYE UCHU NA MADARAKA
ujumbe wangu kwa nape ni huu
UWEZI KUWA SHUJAA KWA KUOKOTA MZOGA (CCM).
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom