Je, ni kweli mwanaume anaweza kubakwa na mwanamke au wanawake? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, ni kweli mwanaume anaweza kubakwa na mwanamke au wanawake?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Gosbertgoodluck, Dec 28, 2011.

 1. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #1
  Dec 28, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mara kadhaa nimesikia kwenye redio na kusoma kwenye magazeti kuwa mwanamke fulani amembaka mtoto wa kiume. Habari za aina hii huwa nazitafakari kwa kina kujaribu kuona practicability yake. Navyofahamu neno KUBAKA linamaanisha mtu kulazimishwa kufanya ngono bila ridhaa yake. Sasa kwa upande wa mwanaume kama kweli amelazimishwa inawezekanaje mtaimbo usimame na shughuli ifanyike na kukamilika bila ridhaa yake!!! Kwa mwanamke, hiyo inawezekana kwamba jamaa anaweza akamwingilia na kumaliza tendo bila yeye kutaka wala kujisikia. Kwa sisi wanaume lazima 'jamaa' aamke na kusimama kabisa ndipo tendo lifanyike. Kwa hiyo, mimi binafsi sidhani kama ni sahihi kusema mwanaume amebakwa.
   
 2. Evarm

  Evarm JF-Expert Member

  #2
  Dec 28, 2011
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 1,500
  Likes Received: 186
  Trophy Points: 160
  Ni kweli, Mwanaume anaweza sana kubakwa na mwanamke.
  Mwanamke anaweza kumfanya mbwembwe za kumsimamisha mtalimbo wa huyo jamaa na kujisevia kiulaini.
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Dec 28, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  tafuta kuna post hilo lilitoke siku za nyuma maeneo ya afrika ya kati kama sikosei..
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Dec 28, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Hizo uzisikiazo nyingi huwa ni case za statutory rape na si forcible rape.
   
 5. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kama mwanamke atafanya mbwembwe zake na kumwamsha jamaa kiasi cha kumudu mchezo mpaka dakika 90 basi huyo hajabakwa bali amelainishwa tu mpaka akaingia LINE mwenyewe.
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Dec 28, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  You can't rape the willing.
   
 7. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #7
  Dec 28, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Nakubaliana na mchango wako lakini neno RAPE nadhani ni kali mno ikilinganishwa ba tukio lenyewe. Ninachotaka kusema hapa ni kwamba mwanamke anaweza kutumia mbinu zozote zilizo ndani ya uwezo wake ili kumshawishi 'mwanaume' aamke. Wakati wa tendo sidhani kana inakuwa ni ubakaji tena. Inawezekana kisheria imewekwa hivyo ili kuzuia kabisa matukio ya aina hiyo lakini in reallity hainiingii akilini kusikia mwanamme amebakwa.
   
 8. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Absolutely!
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Dec 28, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,655
  Likes Received: 35,416
  Trophy Points: 280
  Kimaumbile haiwezekani kwa mwanamke kumbaka mwanamme.
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Dec 28, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  kwa sheria za tanzania mwanamme zaidi ya miaka 18 hawezi bakwa sababu kijiti kinasimama chenyewe.

  Kwa under 18, hiyo ni ubakaji na anashtakiwa na jamhuri

  hata kwa mwanamke ubakaji ni hadi wahakiki kulikuwa na penetration kama ni above 18.
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Dec 28, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  yap, ndio wanasheria wanasema ivo.

   
 12. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #12
  Dec 28, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kielelezo gani kitaonyesha kuwa PENETRATION ilikuwepo manake below 18yrs hata RISASI hazitoki?
   
 13. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #13
  Dec 28, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Hata mwanamke asipofanya bwembwe akikuvulia tu nguo!! hata kama hutaki kufirigisa mzee kipala ameshanyanyuka utasema inasens kw BLUETOOTH!!
   
 14. F

  Fofader JF-Expert Member

  #14
  Dec 28, 2011
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Zimbabwe ilitokea. Wanawake wawili walimpa lift kijana wakampeleka kwao wakamwekea viagra kwenye kinywaji bila ridhaa yake halafu wakamshughulikia!
   
 15. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #15
  Dec 28, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Usiombe ubakwe na mwanamke...
   
 16. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #16
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Si ni hivi majuzi tu Zimbabwe mwana wa kiume alibakwa na wana wa kike wasiopungua wanne ?
   
 17. Emilia

  Emilia JF-Expert Member

  #17
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 266
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wanabakwa tu hawa tena huku wamefungwa pingu mikononi.
   
 18. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #18
  Dec 28, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  If raped is innevitable, lay down for enjoyment..
   
 19. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #19
  Dec 28, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Nakaribisha maombi ya kubakwa..
   
 20. p

  pansophy JF-Expert Member

  #20
  Dec 29, 2011
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 300
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Nimeanza kutoa risasi nikiwa 15 labda bwana ndugu ulikuwa na kasoro ama ulichelewa
   
Loading...