Je, ni Kweli mtu anaweza kununua viewers like na subscribe kwenye YouTube?

Apr 28, 2020
95
150
Hili ni moja Kati ya mijadala ambayo imeibuka sana Tanzania haswa siku hizi za karibu kuhusu mtu anaweza kununua viewers.

jibu ni rahisi NDIYO...!!!!
ni salama kabisa mtu kununua viewers wa YouTube katika akaunti yake, kununua like na hata subscribe. najua unaweza ukazani ni kinyume Cha Sheria au sio kawaida, lakini sivyo kununua viewers , like & subscribe hii ni moja Kati ya mbinu nzuri sana ya kuuza akaunti Yako ya #Youtube.

ingawa Kuna hadithi nyingi sana kwenye mtandao zinazolaani kitendo hicho , kwani ukinunua viewers YouTube hinaonekana mtu wa hovyo sana Ila nataka ujue tu hii ni njia moka wapo salama kabisa ya kuuza chaneli Yako ikiwa utacheza na kadi ya pesa Yako tu.✓

LAKINI KWANINI WATU WANAFIKIRI SI SALAMA KUNUNUA VIEWERS , LIKES & SUBSCRIBE YOUTUBE?

kwasababu za hadithi za Uongo walizozisikia.

Labda nikuulize umesikia ripoti za visa ambapo chaneli zilizopigwa marufuku na YouTube kwa kununua vifurushi vya matangazo. Pia, kumekuwa na ripoti za watu wakisema walinunua Viewers na subscribe na ghafla, idadi yao ilianza kupungua.

unajua ukizisikia hizo hadithi za kufungiwa chaneli Basi jua watu wengi walikua wanunua bolt viewers , like & subscribe kwenye YouTube zao.

hivyo kimsingi kama msanii , mfanyabiashara , au mtu yeyote atanunua Viewers kwenye YouTube Basi ujue anakuza Chaneli yake hivyo itamfanya kuweza kuwafikia watu wengi na hata kuweka kwenye google search engine . yani ukimtafuta tu utamkuta wa Kwanza.

lakini jua Kuna tofauti ya real Viewers & bolt Viewers ?
ngoja nianze na #real viewers hii ni njia ambayo ndiyo salama kabisa kununua viewers kwenye chaneli Yako utaweza kupata Viewers , like , subscribe kwenye chaneli Yako ambao wako active kabisa sio ghost view.

#bolt Viewers hawa ndo ghost kabisa yani wanakupa likes , viewers & subscribe lakini akaunti Yako haiko active Kuna kipindi YouTube wataiondoa.

Ukinunua vifurushi bandia au vya bot, una hatari ya kuifanya akaunti hatari nyingi hata kuipoteza.

Je unafikiri msanii kununua viewers kwenye YouTube Kuna umuhimu au lah !! tuachie main Yako chini sasa. ?
 
Kigger

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
547
500
Mimi nilinunua views istagram nimekuja kuangalia baada ya muda wamepungua na hela wamekata
 
Linko

JF-Expert Member
Aug 20, 2016
2,409
2,000

ujinga bolt wanajulikana na kwa account kubwa kama you tube sio rahisi sana wa dumuu na pia kuhusu kununua real ni rahisi sana. mi nakumbuka nilikuwa na nunua follwers wa insta kisha nauza account ila wakati wa kuuza lazima mnunuzi aanalie insight kwanza ndo atajua maana ile haijifichiii hata kidogo. na real viewrs ni rahisi japo wanaenda slow sana
 
ankai

JF-Expert Member
Nov 25, 2017
2,374
2,000
Hili ni moja Kati ya mijadala ambayo imeibuka sana Tanzania haswa siku hizi za karibu kuhusu mtu anaweza kununua viewers.

jibu ni rahisi NDIYO...!!!!
ni salama kabisa mtu kununua viewers wa YouTube katika akaunti yake, kununua like na hata subscribe. Najua unaweza ukadhani ni kinyume Cha Sheria au sio kawaida, lakini sivyo kununua viewers , like & subscribe hii ni moja Kati ya mbinu nzuri sana ya kuuza akaunti Yako ya #Youtube.

Ingawa Kuna hadithi nyingi sana kwenye mtandao zinazolaani kitendo hicho kwani ukinunua viewers YouTube inaonekana mtu wa hovyo sana Ila nataka ujue tu hii ni njia moka wapo salama kabisa ya kuuza chaneli Yako ikiwa utacheza na kadi ya pesa Yako tu.✓

LAKINI KWANINI WATU WANAFIKIRI SI SALAMA KUNUNUA VIEWERS , LIKES & SUBSCRIBE YOUTUBE?

Kwasababu za hadithi za Uongo walizozisikia.

Labda nikuulize umesikia ripoti za visa ambapo chaneli zilizopigwa marufuku na YouTube kwa kununua vifurushi vya matangazo. Pia, kumekuwa na ripoti za watu wakisema walinunua Viewers na subscribe na ghafla, idadi yao ilianza kupungua.

Unajua ukizisikia hizo hadithi za kufungiwa chaneli Basi jua watu wengi walikua wanunua bolt viewers, like & subscribe kwenye YouTube zao.

Hivyo kimsingi kama msanii , mfanyabiashara , au mtu yeyote atanunua Viewers kwenye YouTube Basi ujue anakuza Chaneli yake hivyo itamfanya kuweza kuwafikia watu wengi na hata kuweka kwenye google search engine. Yani ukimtafuta tu utamkuta wa Kwanza.

lakini jua Kuna tofauti ya real Viewers & bolt Viewers ?
ngoja nianze na #real viewers hii ni njia ambayo ndiyo salama kabisa kununua viewers kwenye chaneli Yako utaweza kupata Viewers , like , subscribe kwenye chaneli Yako ambao wako active kabisa sio ghost view.

#bolt Viewers hawa ndo ghost kabisa yani wanakupa likes , viewers & subscribe lakini akaunti Yako haiko active Kuna kipindi YouTube wataiondoa.

Ukinunua vifurushi bandia au vya bot, una hatari ya kuifanya akaunti hatari nyingi hata kuipoteza.

Je unafikiri msanii kununua viewers kwenye YouTube Kuna umuhimu au lah !! tuachie main Yako chini sasa. ?
Aisee umeandika porojo nyingi kweli kweli ivi wewe hutaki kuapload kitu alafu kikawa no one on trending ama unavyofikiri wasanii wote wa tanzania wao hawataki wakitoa nyimbo yao iwe na viewers mill 10 ama 20 per day acha ujinga alafu acha kuaminisha watu ujinga

Kwanza rudi darasani ukasome tena somo la alogarithim ukitoka uko hutarudia tena kuja kuandika ujinga kama kama huo

Alafu yaani youtube wanawalipa watengeneza content yaani unavyofikiri lengo lao linakuwa ni nini kama wao wanalipwa na mtengeneza content ili content yakr iwe na viewers wengi alafu hao hao youtube waliolipwa ela nyingi na mtengeneza content ili content yake ipate viewers wengi baada ya content ile kupata viewers wengi wanarudi tena na kuja kumlipa uyo uyo mtu ambae wamshirkiana nae kufake viwers alafu wanakuja kumlipa kwa izo izo viewers fake kweli mzee duuh hii labda ukawadanganye watu wa mbwinde
 
ankai

JF-Expert Member
Nov 25, 2017
2,374
2,000
Asante kwa kumuelewesha
Kiufupi mtu hawezi kununua viewers youtube labda mtu anachoweza kufanya youtube kikamsaidai angalau kuifanya content yake ionekane na watu wengi kwa urahisi kidogo ni kuiweka content yake sponsered yaani ile content yake ionekane kama moja wapo ya matangazo ambayo yatakuwa kama adds kwenye screen za youtubers
 
sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
2,024
2,000

Ndio wananunulika.

Kuna mitandao kama micro workers unamlipa mtu hata dola 0.05 (takribani shilingi 100) atembelee website yako, atembelee facebook yako na kulike, acheki youtube video, nk) ni mtandao wa bei chee sana. ni kama unatembea mtaani unamlipa kila mtu anaecheki video yako shilingi 100 sema kwa mtandao.

Pia kuna mitandao mingine wanauza views ila hawa wanatumia simu nyingi zilizopangiliwa kupokea maelekezo ya software ama proxies tofauti, hawa ukisechi google "youtube smm panels" wapo kibao....hawa kwa asilimia kubwa ndio views za maroboti.

Yote kwa yote hawana faida, maana umewafosi na ni bora njia ya kwanza youtube wanaweza wasistuke kuliko hio ya pili youtube wakijua huwa wanachuja hizo views za maroboti.

Ila kwa msanii kama Diamond huwa hanunui viewa bali ana "promote" anafanya promotion kihalali kabisa kwa kufata sheria, huwa naona kuna matangazo yenye kuhamasisha ucheki video yake kupitia "sponsored ads" zinazotolewa na facebook na instagram, ukiliona tangazo view haihesabiki, moaka ushawishike kuona kioande mfano cha sekunde 30 alichoweka kwenye tangazo, endapo utaupenda huo mziki aliowekea tangazo basi kuna sehemu unaminya juangakia video nzima na ndio utapelekwa youtube sasa kwa hiari yako na view itahesabika,

Views sio ujivuni tu wa kujitapa kwamba video yako imetazamwa sana, La Hasha! Views ni pesa kwa wasanii wengi, Kwa Diamond hapo kuna kipindi kwenye status yake aliweka picha inaonesha mziki ule wa Innos B ukiwa na viewa milioni 30 alikuwa ashagonga dola elf 60 sawa na milioni 120 za madafu, sasa vuta picha saizi ile kazi ina zaidi ya views milioni 100 ndo upige hesabu, Yani hii ndio inafanya watengeneze video za gharama kubwa hata wakitumia milioni 20 kwa video uhakika wa hio pesa kurudi upo na wanabaki na pesa ya ziada nyingi zaidi
 
Sasa umlipe mtu sh 100 kwa ajili akatazame content yako just a single view yaani akaangalie content yako mara moja tu sasa huoni kuwa wewe utakuwa ni punguani mkubwa mno kwa maana ya kwamba malipo ya youtube per single viewer hayazidi dola 0.03 sasa wewe ukimlipa mtu akatazame iyo content yako kwa sh 0.05 huoni kuwa utakuwa unatengeneza hasara kubwa mno yaani ni utakuwa unafanya ujuha wa hali ya juu ivi ingekuwa inawezekana kununua wee unahisi mtu kama davido na mahela yote aliyonayo si angekuwa akiupload video basi ananunua viewers ili video yake iwe na viewers ml 100 per day ndugu embu tuacha kuwa wanafiki bhana njia pekee ya kuongeza viewers ni kulipia content yako iwe adds kwenye youtube na ivyo inasaidia kuwashawishi watu wengi wakaangalie ile content yako
 
Mkuu jambo usilolijua ni sawa na giza, ni vyema ungeomba tu elimu ya ziada na sio kujifanyia conclusions haraka haraka.

Watu hununua views ili kupata viuatavyo.

1.Kuonekana ni maarufu

kwa mafano msanii wa chini ambae hata kufikisha views elf 1 ni kazi, basi anaweza kununua views hata laki moja ili aonekane ni maarufu bila kujali hasara atayopata kifedha.

2. Kupata vigezo vya kuanza kulipwa na youtube

Youtube huwa wanalipa channel zilizofikisha kigezo cha kuwa na sbscribers elf 1 na jumla ya masaa elf 4 yalioanfaliwa kiujumla kwenye video zako (navyo vinanunuliwa), Kuna watu wanafanya biashara ya kuuza hizi accounts zinazoingiza pesa, Kwenye magroupya bloggers na youtubers wa Tz nmeona ziauzwa mpaka milioni.

3. Kufanya video iwe kwenye matokeo ya juu

M
Mfano una biashara ya nguo na u nataka kuzipormote upitia youtube, Umeweka video yako youtube ila ina views 10 tu na hata watu wakisechi "maduka mazuri ya nguo" video yako haipo hata kwenye matokeo 10, Hapo ndipo watu wanaweza kununu views, likes, comments, subscribes, n.k ili video ipande iwe hata ndani ya video 3 za mwanzo ili watu waione, watu wakiina video yako wanaweza kuja dukani kwako na wakawa wateja wa kudumu.

4. Youtube haitengenezi pesakwa views tu, Fursa ni nyingi

Kila kitu hii dunia inabidi ukiangalie kwa icho la pili, kuna wanaopata dola elf 3 tu katika views elf 1, ila kuna wanaotengeneza hata laki 2 katika views elf 1

Hapa napo hapatofautiani na pointi namba 3, Kuna platforms za udalali mitandaoni sikuhizi zinaitwa affiliate marketing, Masoko ya mtandaoni kama Amazon humpa daalali link ya bidhaa flani, na endapo mtu akinunua kupitia link hio basi dalali ana chake, sasa kuna watu wanatumia njia hizo nlizotaja point namba 3 ili kufanya video zao zionekane kwenye matokeo ya juu, Mfano mtu akisechi "TV nzuri" na akaingia kutazama video iliyowekwa na dalali na akanunua hio tv kwa milioni 2, na dalali akapewa gawio la laki 1, sasa kama wat 10 wamenunua kupitia hio link dalali ashapeta hapo, hata kama litumia laki 2 kununua views tayari ana faida.

Ushahidi wa kununua views huu hapa katika mtandao wa micro workers ambao mtu yoyote anaweza kujiunga kulipa wamfanyie kazi ama kulipwa kuwafanyia kazi wengine, huyu mtu analipa watu watazame video zake, kulike na kubscibe kwa gharama ya dola 0.1 sawa na shilingi 230 kwa pesa yetu

1621770614849.pngPia kwa wale wa views za maroboti ambazo ni bei chee zaidi ila huwa ziachujwa sana kuna mitandao kama >> stromsmm <<

Hapa wanauza views elf 1 kwa dola 6 takribani shiling elf 14 hivi, order ya chuini ni vies 500 na order ya juu ni views laki 5

1621769224106.png
 
View attachment 1795175

Pia kwa wale wa views za maroboti ambazo ni bei chee zaidi ila huwa ziachujwa sana kuna mitandao kama >> stromsmm B]

Hapa wanauza views elf 1 kwa dola 6 takribani shiling elf 14 hivi, order ya chuini ni vies 500 na order ya juu ni views laki 5

View attachment 1795153
daaah mwana una matatizo mno asee daah ngoja nisave energy yangu
 
Johnny Impact

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
2,678
2,000
Hili jukwaa lishapoteza mvuto sana kwa kuwepo wajuaji wengi. Anachobisha nini wakati kila kitu kinawezekana.
Subscribe, view, like na comment vinanunilika ni wewe na pesa yako tu.

Pia kwa wale wa views za maroboti ambazo ni bei chee zaidi ila huwa ziachujwa sana kuna mitandao kama >> stromsmm <<

Hapa wanauza views elf 1 kwa dola 6 takribani shiling elf 14 hivi, order ya chuini ni vies 500 na order ya juu ni views laki 5

View attachment 1795153
 
chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
3,819
2,000
Hakuna sehemu youtube wananunua viwer.sijui nchi yetu teknolojia mtazijua lini !
Mfano mzuri wakutafuta viwer
Unaenda kwa watu walio na umaarufu mfano mirad ayo au tv zenye page ya mitandao ya kijamii kuwalipa ili kutangaza kazi zako na link.
Mfano jamaa mmoja hapa mirad ni mjanja sana habari zake kupitia mitandao ya kijamii lazima hakulazimieshe ufungue link ukaangalie video zake ambazo zipo youtube.
Ndio maana wasanii wakibongo utumia watu au sehemu mbali mbali kungaza kazi zao ili wale watu wapate kuja youtube kuangalia.
 
Deo Corleone

JF-Expert Member
Jun 29, 2011
15,916
2,000
Hili jukwaa lishapoteza mvuto sana kwa kuwepo wajuaji wengi. Anachobisha nini wakati kila kitu kinawezekana.
Subscribe, view, like na comment vinanunilika ni wewe na pesa yako tu.
Kwa mfano natakiwa niwe na bei gani ili account yangu inunue subscribbers 1000 na watching hours 4000?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom