Je, ni kweli mtu anaweza akanywa pombe na vidonge vya viagra..

Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
6,595
2,000
Naombeni majibu wataalam wa afya
Hilo jambo ni la kitaalamu kidogo.

Wahusishwe zaidi wataalamu wa afya kutoa hitimisho.

Lakini nijuavyo mimi, pombe na viagra vinatumiwa sana na wakware kwa pamoja na wapo tu wanadunda.

Waonakufa kibudu kisababishi kikubwa ni matumizi ya viagra na si pombe kwa wenye historia ya ugonjwa wa moyo.

Kwa hiyo kama una matatizo ya moyo ukichanganya pombe na viagara, kitakachokuzimisha hapo ni viagra inayopandisha presha.

Lakini kama huna tatizo la kiafya, ukibwia baba kwa raha zako sidhani kama kuna tatizo.
 

Dindira

JF-Expert Member
Nov 10, 2016
2,923
2,000
Pata konyagi yako moja faru john. Ongeza red bull mbili au tatu. Tafuna viagra 2. Huo mziki utakaompa huyo mwenza sijui kama atakuja kukusalimia tena. Mhogo unakua mtarimbo mpaka kunakucha. Usiambiwr
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom