dumbi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2018
- 989
- 1,523
Habari zenu wakuu?kama swali linavyojieleza hapo juu kumekuwa na Imani kwamba mtoto mchanga kitovu kisiangukie kwenye uume wake kwani itasabisha uume wake kutodinda je ni kweli au Imani tu?
Madaktari wetu tunaomba mtusaidie kuhusu Imani hii kama kwelii au sio kweli, kama ni kweli je sababu zipi zinazofanya uume usisimame kwa kuangukiwa na kitovu.
Vile vile wanaoamini Imani hii watupe sababu ya kitovu kuleta athari hii kwa mtoto.
Asante.