Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 20,711
- 45,079
Kwanza kabisa poleni sana majirani zetu Kenya.
Leo kumeibuka habari nyingi kuhusiana na shambulizi la kigaidi lililotokea jana nchini Kenya.
Gumzo kuu, ni kutajwa kwa Mossad katika ushiriki wa mstari wa mbele katika mapambano ya jana ya vikosi vya serikali dhidi ya Al Shabaab. Hii imekuja wakati ambao KDF inapokea sifa kemkem kwa uwezo wao wa kusambaratisha magaidi hayo ya jana hapo Nairobi.
Inaelezwa kuwa 80% ya misheni hiyo ya kupambana na magaidi hao jana na leo imefanywa na Mossad kwa niaba ya vikosi vya Serikali. Kuna baadhi ya picha mtandaoni zikionesha Mossad wakiwa katika uwanja wa mapambano.
Je ukweli upoje?
Sent using iPhone X