Je ni kweli MOSSAD ndio walipambana kwa niaba ya KDF?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,702
45,042
Kwanza kabisa poleni sana majirani zetu Kenya.

Leo kumeibuka habari nyingi kuhusiana na shambulizi la kigaidi lililotokea jana nchini Kenya.

Gumzo kuu, ni kutajwa kwa Mossad katika ushiriki wa mstari wa mbele katika mapambano ya jana ya vikosi vya serikali dhidi ya Al Shabaab. Hii imekuja wakati ambao KDF inapokea sifa kemkem kwa uwezo wao wa kusambaratisha magaidi hayo ya jana hapo Nairobi.

Inaelezwa kuwa 80% ya misheni hiyo ya kupambana na magaidi hao jana na leo imefanywa na Mossad kwa niaba ya vikosi vya Serikali. Kuna baadhi ya picha mtandaoni zikionesha Mossad wakiwa katika uwanja wa mapambano.

Je ukweli upoje?

Sent using iPhone X
 
Weka hizo picha au link, kwa Kenya inaweza isiwe issue Nchi ya Ahadi wana maslai mapana sana pale.
 
Kwanza kabisa poleni sana majirani zetu Kenya.

Leo kumeibuka habari nyingi kuhusiana na shambulizi la kigaidi lililotokea jana nchini Kenya.

Gumzo kuu, ni kutajwa kwa Mossad katika ushiriki wa mstari wa mbele katika mapambano ya jana ya vikosi vya serikali dhidi ya Al Shabaab. Hii imekuja wakati ambao KDF inapokea sifa kemkem kwa uwezo wao wa kusambaratisha magaidi hayo ya jana hapo Nairobi.

Inaelezwa kuwa 80% ya misheni hiyo ya kupambana na magaidi hao jana na leo imefanywa na Mossad kwa niaba ya vikosi vya Serikali. Kuna baadhi ya picha mtandaoni zikionesha Mossad wakiwa katika uwanja wa mapambano.

Je ukweli upoje?

Sent using iPhone X
Ebu tuoneshe scenes zilizowahusisha MOSSAD ktk harakat za mapambano iyo jana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kabisa poleni sana majirani zetu Kenya.

Leo kumeibuka habari nyingi kuhusiana na shambulizi la kigaidi lililotokea jana nchini Kenya.

Gumzo kuu, ni kutajwa kwa Mossad katika ushiriki wa mstari wa mbele katika mapambano ya jana ya vikosi vya serikali dhidi ya Al Shabaab. Hii imekuja wakati ambao KDF inapokea sifa kemkem kwa uwezo wao wa kusambaratisha magaidi hayo ya jana hapo Nairobi.

Inaelezwa kuwa 80% ya misheni hiyo ya kupambana na magaidi hao jana na leo imefanywa na Mossad kwa niaba ya vikosi vya Serikali. Kuna baadhi ya picha mtandaoni zikionesha Mossad wakiwa katika uwanja wa mapambano.

Je ukweli upoje?

Sent using iPhone X

🤳🏿🤳🏿🤳🏿🤳🏿mm nimekaa zangu tu hapa nasubiri jichopevu na report za ukwel za kiitelijensia
 
Ngoja nimsaidie kapicha mtoa mada
IMG_20190116_180005.jpeg.jpg
 
Nimeisoma hiyo article naona jamaa anasifiwa mwanzo mwisho lakini kuna maswali mengi tu
Mojawapo ni hili imekuwaje awe kwenye right place at opportune time with all his kits au ndio instincts zenyewe ama la Wazungu walishalisoma tukio lenyewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hao jamaa wanatembea fully loaded kwenye gari yake, huwezijua ni saa ngapi kitanuka, kama ilivotokea kwenye tukio hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haswa. Na je ikiwa wao walishafahamu uwezekano wa kutokea shambulio iweje wasitoe tahadhari? Walakini

Back
Top Bottom