Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,850
...eti jamani naomba kuuliza...
Eti ni kweli iwapo Mama Mkwe alizaa na wanaume kadhaa basi na mkeo mtarajiwa naye ndio hivyo tena (Abiria chunga mzigo wako?)
Nimeusikia msemo ati; Tabia ya mkwe ndio taswira ya mkeo, ukitaka chagua mchumba basi muangalie Mkweo!".
nachelea kesi ya nyani kujampelekea ngedere huko mbele ya safari!