number41
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,048
- 1,462
We nawe una mihemko sana kwan nani ajaenda shule sio kwenda shule ni kujua vitu vyote kijana jipange sasa nani amekubishia ingawa umejibu vizur mwanzo ila inaonekana we unakimbelembele sanahapana hawajaruka angani ila sisi waafrika tumeruka angani mara nyingi tu.nenda shule kasome msinunue simu tu mnaingia kwenye mtandao hujui kitu eghypt misri ni nchi kwanza kuvumbua herufi a b c d sio mzungu misri ni nchi ya kwanza kuvumbua saa