Je, ni kweli Mazoezi ya ku squat kwa mwanaume humfanya kuwa na Makalio makubwa

Hivi karibuni nilianza mazoezi ya squat lengo likiwa nikujimarisha viungo vya chini kama mapaja na miguu

Lakini nimesikia baadhi ya watu wakisema kuwa mazoez ya squat kwa mwanaume yanasababisha kuwa na makalio na kuwa na umbo na 8.

Sasa ndugu zangu Kati ya kitu ambacho wanaume tunaogopa nikuwa na makario makubwa au umbo na 8.

Je, kuna ukweli wowote kuhusu madhara hayo ya squat kwa mwanaume.

Msaada tafadhali!

View attachment 2158889
Sielewi kama ni hizo ila nilipo anza mazoezi nilipiga sana hizo na kuja kukuta naona kijungu kimetokezea .
 
Kuna aina ya mazoez kwa mwanaume haifai.. sasa unanyanyuka juu unakaa chini yaan kama vile unaukalia Mjengo.
 
Hivi karibuni nilianza mazoezi ya squat lengo likiwa nikujimarisha viungo vya chini kama mapaja na miguu

Lakini nimesikia baadhi ya watu wakisema kuwa mazoez ya squat kwa mwanaume yanasababisha kuwa na makalio na kuwa na umbo na 8.

Sasa ndugu zangu Kati ya kitu ambacho wanaume tunaogopa nikuwa na makario makubwa au umbo na 8.

Je, kuna ukweli wowote kuhusu madhara hayo ya squat kwa mwanaume.

Msaada tafadhali!

View attachment 2158889
Ungeweka picha
 
Baada ya kuona video ya yule jamaa wa south africa wanamuita king of squat
Nimeogopa na nimeamua kucha kupiga squat nisije ota kichuguu kama jamaa

Tazama picha chini hapa

Tazama video kupitia link hii

View: https://fb.watch/nkkatRuC4n/?mibextid=Nif5oz
Screenshot_20230928-084305.jpg
 
Kuna aina ya mazoez kwa mwanaume haifai.. sasa unanyanyuka juu unakaa chini yaan kama vile unaukalia Mjengo.
Ni moja ya zoezi zuri sana hii squat, sasa sisi wanaume hatuna shida sababu hatuna hips za kujaa kama kina KE.

Kuimarisha joints, pia kutengeneza packs na kutoa kitambi....kuna faida tele....kwan ME anadeposit ya fat yaani kalio tena ikiwa anapiga zoezi... tufanye mazoezi kwa afya.
 
Back
Top Bottom