Je, ni kweli matokeo ya DNA hudanganywa kupunguza mayatima ?

The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
10,728
13,967
Nataka kujua huu ni uongo au ukweli tetesi hizi zililetwa na nini,maana kuna watu huwa hawaamini Tanzania wanaenda Kenya ,aidha mniambie ni hospital gani wakweli juu ya hili kuna rafiki yangu anahisi kuna kademu kamemtumbua jipu?
 
Back
Top Bottom