Je, ni kweli Mama Kubwa wanapenda vi ben ten lakini hawawezi mchezo?

MumbaZ

Senior Member
Jan 28, 2018
134
250
Jamaa mmoja anayejua sana kuchamba watu, simjui kwa jina, nimeikuta hii video akiwasema wa mama wanaopenda kusalandia vijana wadogo wenye umri kama watoto wao waliozaa. yaani BEN TEN alafu wakifika kwenye shughuli wanatapatapa!.

Mdau toa mchango wako..


 

Mkuu wa Kibiti

JF-Expert Member
Sep 7, 2017
678
1,000
Huyu mtoto wa kiume anaongea huyo,ataoa kweli huyu!?Itabidi aoe bubu maana du hilo gubu si la nchi hii
 
Top Bottom