Je, ni kweli makombora ya Russia ya s-400 na s-300 yashindwa kuiangusha f-35 huko Syria?

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Apr 21, 2015
1,481
3,119
Baada ya kuona makombora ya ulinzi wa anga ya marekani yameshindwa kuilinda saudi arabia,na kupelekea kupigwa na drones za waasi,na hivyo watu wameanza kuongelea makombora ya kisasa ya Russia ya s-400 na s-300.
Vyombo vya magharibi vimeanza propaganda kuwa,nde ya israel f-35 imevinjari katika anga la syria,ikiwamo kambi za urusi,bila kuonwa na radar za s-300 & s-400.
Screenshot_2019-09-20-07-58-38.jpeg
Screenshot_2019-09-20-07-59-00.jpeg
Screenshot_2019-09-20-07-59-18.jpeg
 
Urusi hajampa ruhusa Syria kutumia S-300 dhidi ya Israel. Pia air defence system za Urusi uko Syria hazimlindi Syria bali vifaa, wanajeshi na viwanja vilivyo kambi za Urusi. Urusi halindi anga la Syria, analinda anga la base zake za Latakia na Khmeimin
 
Baada ya kuona makombora ya ulinzi wa anga ya marekani yameshindwa kuilinda saudi arabia,na kupelekea kupigwa na drones za waasi,na hivyo watu wameanza kuongelea makombora ya kisasa ya Russia ya s-400 na s-300.
Vyombo vya magharibi vimeanza propaganda kuwa,nde ya israel f-35 imevinjari katika anga la syria,ikiwamo kambi za urusi,bila kuonwa na radar za s-300 & s-400.View attachment 1211991View attachment 1211992View attachment 1211993
Walikaonea huruma hako ka ndege maana kangedondoshwa trump angeanza kulia lia kama mtoto...

By the way, ilikuaje drones za iran zinashambulia visima vilivyo karibu na kambi za usa na bado mtambo wao wa kulinda anga haukuziona?
 
Hili swala kwa kuwa ni la kibiashara zaidi na nia ya Russia ni kuzitafutia soko hizi defense systems zake hivyo haiwezekani siku zote hizo wasiangushe hata ndege moja ya Israel ili watumie tukio kama advertising lobby.

Israel ni moja ya nchi chache duniani zenye highly qualified and more professional combat aircraft pilots na pia wana teknolojia ya hali ya juu ktk medani ya kivita kitu ambacho maadui zake wote wanakiri.

Hivyo hadi leo kuwa hakuna ndege yao iliyokwishaangushwa na hizo Air Defense Systems za Russia sio jambo la kushangaza.

Kwenye mambo kama haya watu wanaweza wakakuchezea tu kwenye nyanja ya Electronic Warfare na kwa ku-tamper na Radar Signature nk na wakafanya zana zako zikawa kabisa bubu.
 
Write your reply...kama s-200 za syria zimeangusha ndege za Israel na ni mifumo ya zamani sana, itashindwa s-300 na s-400.zamani Israel alikuwa anaingiza ndege syria ndo anashambulia, sasa ivi mambo yamegeuka anazipeleka lebanon kisha ndo anashambulia
 
Ndani ya miaka 30 ndo wakafanikiwa kuangusha Ndege moja tena hapo ndo baada ya kuivurumishia makombora kibao.

Na baada ya Ndege kuangushwa Israel ikarudi tena ikailipua hyo S-200.

S-300 za Syria mpaka leo hazijafanikiwa hata kuangusha drone ya Israel na kila siku Israel inashambulia tena karibu kabisa na zilipo hizo S-300. Mwanzoni mlisema S-300 ikiwekwa itakua inaona tangu Ndege inaporuka toka Israel,imekuaje tena?!
 
ukiacha marekani,urusi ndio nchi yenye wayahudi wengi wazawa,hata jeshini pia ndio madesigner,usije ukategemea silaha za urusi zikamwangamiza israel,hata siku moja,mambo yakiwa magumu,mrusi anwapa secret code za radar,ili waweze kuzibypass radar signecha.
Hili swala kwa kuwa ni la kibiashara zaidi na nia ya Russia ni kuzitafutia soko hizi defense systems zake hivyo haiwezekani siku zote hizo wasiangushe hata ndege moja ya Israel ili watumie tukio kama advertising lobby.

Israel ni moja ya nchi chache duniani zenye highly qualified and more professional combat aircraft pilots na pia wana teknolojia ya hali ya juu ktk medani ya kivita kitu ambacho maadui zake wote wanakiri.

Hivyo hadi leo kuwa hakuna ndege yao iliyokwishaangushwa na hizo Air Defense Systems za Russia sio jambo la kushangaza.

Kwenye mambo kama haya watu wanaweza wakakuchezea tu kwenye nyanja ya Electronic Warfare na kwa ku-tamper na Radar Signature nk na wakafanya zana zako zikawa kabisa bubu.
 
Hili swala kwa kuwa ni la kibiashara zaidi na nia ya Russia ni kuzitafutia soko hizi defense systems zake hivyo haiwezekani siku zote hizo wasiangushe hata ndege moja ya Israel ili watumie tukio kama advertising lobby.

Israel ni moja ya nchi chache duniani zenye highly qualified and more professional combat aircraft pilots na pia wana teknolojia ya hali ya juu ktk medani ya kivita kitu ambacho maadui zake wote wanakiri.

Hivyo hadi leo kuwa hakuna ndege yao iliyokwishaangushwa na hizo Air Defense Systems za Russia sio jambo la kushangaza.

Kwenye mambo kama haya watu wanaweza wakakuchezea tu kwenye nyanja ya Electronic Warfare na kwa ku-tamper na Radar Signature nk na wakafanya zana zako zikawa kabisa bubu.

Lakini hiyo F- 35 hajatengeneza huyo bazazi Israel
 
Yani mtu aliyeweka neno israel kwenye vichwa vya wanadamu ni zaidi ya mwerevu,yani huyo israel anavyosifiwa na kuundiwa kila aina ya sifa nzuri yenye uwezo wa kiakiri ndani yake-unaweza kudhani duniani watu ni waisrsel pekee.
Aseee
 
Walikaonea huruma hako ka ndege maana kangedondoshwa trump angeanza kulia lia kama mtoto...

By the way, ilikuaje drones za iran zinashambulia visima vilivyo karibu na kambi za usa na bado mtambo wao wa kulinda anga haukuziona?
hili swali gumu sana,unawezashangaa kalipua mmarekani mwenyewe kwa sababu zake binafsi,si unajua haaminiki yule..
 
Yani mtu aliyeweka neno israel kwenye vichwa vya wanadamu ni zaidi ya mwerevu,yani huyo israel anavyosifiwa na kuundiwa kila aina ya sifa nzuri yenye uwezo wa kiakiri ndani yake-unaweza kudhani duniani watu ni waisrsel pekee.
Lakini ukiangalia operation alizofanya,vita alivyopigana na adui zake,na ukubwa wa nchi yake,na jinsi alivyozungukwa na maadui pande zote,tena wengi kuliko yeye,na silaha kali,lakini bado anasavaivu,,mimi nafikiri ni haki kumsifia labda uwe na roho ya pekeako tu...
 
Urusi tokea ameleta S-300 Syria alikuwa anawatrain wanajeshi wa Syria namna ya kuoperate hiyo mitambo. Mpaka sasa training imeisha na wiki iliyopita taarifa zisizo rasmi zinasema Syria itaanza kutumia mifumo hiyo, hii inakuja baada ya Iran kutangaza iko tayari kuuza Bavar airdefence system ile iliyodondosha drone ya US. Pia Sukhoi Su-35 za Urusi zilisindikiza ndege za Israel kurudi kwao mara tatu. Hii inawezekana ni kuwa Urusi anajiandaa rasmi kuondoka Syria maana waziri wa ulinzi ashasema vita wameshinda. Yeyote anayesema S-300 hazifanyi kazi hajui kuwa hazikuwa mikononi mwa Syria. Pia mjue Israel hajawai shambulia kambi ya Urusi. Tofautisha kununua Harrier kutoka Japan ukajifunza kwa wiki mbili ukaendesha na mifumo ya ulinzi wa anga. Ile inatumia miezi na miaka kuwa competent na hakuna mzungu anauza silaha afu ushindwe itumia kwa uzembe maana utamharibia CV na soko. Hata Boeing wakiuza ndege za abiria wanakufatilia sana usije dondosha ndege ukawaharibia sifa
 
Ndani ya miaka 30 ndo wakafanikiwa kuangusha Ndege moja tena hapo ndo baada ya kuivurumishia makombora kibao.

Na baada ya Ndege kuangushwa Israel ikarudi tena ikailipua hyo S-200.

S-300 za Syria mpaka leo hazijafanikiwa hata kuangusha drone ya Israel na kila siku Israel inashambulia tena karibu kabisa na zilipo hizo S-300. Mwanzoni mlisema S-300 ikiwekwa itakua inaona tangu Ndege inaporuka toka Israel,imekuaje tena?!
Ukitaka kujuas-300 zinafanya kazi basi mwambie ashambulie kambi za warusi pale syria ndo utajua zinafanya kazi,maana s-300 zinamilikiwa na warusi.

Toka warusi waingie syria israel anashambulia kwa mbali maana anajua jeshi la syria limepewa mafunzo mapya ya kutumia mifumo yao ya zamani Ndio maana kwa sasa sio jambo geni kusikia syria wamedungua drone ya Israel au ndege zingine
 
Sasa Israel ashambulie kambi za Urusi kwa sababu gani?! Wana mgogoro gani na Urusi?!

Israel alishasema wazi ana uwezo wa kuziharibu air defenses zote za Syria,ndio maana mpaka leo ikitokea mfumo fulani umeshambulia Ndege zao wanarudi na kuulipua kama mwaka Jana walivyolipua zile Pantisir na s-200 kadhaa.
 
Lakini hiyo F- 35 hajatengeneza huyo bazazi Israel
Yes, ni kweli hajazitengeneza lkn chini ya special defense protocol existing between the US and Israel, waisraeli wana haki fulani chini ya hati ya makubaliano na Marekani kuzifanyia hizo ndege some modifications, additions although no deletions are allowed.

Ni Israel tu ndio ina hiyo privilege japo lazima wapate kibali kutoka Pentagon na hiyo hufanywa na wamarekani ili ku-maintain security of the sensitive technology the aircrafts possess.

Sasa why Israel and not others, ni kwamba kwenye military research and applied technology ya Marekani kuna wataalam wengi wa Israel na wana mchango mkubwa sana kwenye hiyo fani na hizi shughuli wanashindwa kuzifanyia nyumbani Israel due to heavy financial investment involved that the Jewish state cannot afford.

Chini ya huo mpango Israel wamewahi ku-modify ndege kama F-15 and F-16s to integrate its own system

Israel pia hutengeneza silaha kadhaa za teknolojia ya hali ya juu (Advanced Weaponry Systems); Hi-tech Sensors na Communication Gears for military application na kuziuza Marekani. Pia wanatengeneza Litening Precision Targeting Systems zenye kutumia Infrared Imaging and Laser Range-finding to guide bombs to targets ambazo hutumiwa sana na US Air Force pamoja na US Navy Aircrafts. Vile vile Joint Helmet Mounted Systems kwa ajili ya marubani wa ndege za F-22 zinatengenezwa kwa kutumia teknolojia ya Israel. Nk, Nk.
 
Sasa Israel ashambulie kambi za Urusi kwa sababu gani?! Wana mgogoro gani na Urusi?!

Israel alishasema wazi ana uwezo wa kuziharibu air defenses zote za Syria,ndio maana mpaka leo ikitokea mfumo fulani umeshambulia Ndege zao wanarudi na kuulipua kama mwaka Jana walivyolipua zile Pantisir na s-200 kadhaa.
kama ana uwezo wa kuharibu bila shida,ilikuwa mrusi alimpatia syria s-300,dunia nzima ilisimama,na israel hakurusha hata jiwe syria mwezi mzima,mpaka urusi alipomwambia kuwa aja activate s-300,ndo akaanza kushambulia tokea anga ya lebanon.
 
Back
Top Bottom