Je, ni kweli majani ya chai yanapunguza nguvu za kiume?

mayenga

JF-Expert Member
Sep 6, 2009
4,118
1,966
Tulio wengi tunaujua ule usemi usemao, kila wakati ni wakati wa chai. Na wengi tunapenda kunywa chai kila wakati, nikiri kwamba kwangu mimi ninywapo chai hunichangamsha sana.

Kwa kuwa mimi professionally si daktari kumekuwa na tetesi ambapo inasemekana kwamba, baadhi ya majani ya chai hupunguza kwa kiasi kikubwa nguvu za kiume. Je,ni majani aina gani hayo?

Tafadhali mwenye kujua ukweli atujuze.
 
Mkuu mie nipo addicted na Tea lkn kuhusu upungufu wa nguvu za kiume sijaziona, nadhani inaongeza sana tu PERFOMANCE
 
Duh Hili Jukwaa Lina Wagonjwa! Na Magonjwa Mengi! Ngoja Nirudi Kule Kwangu Siasani! Nisije Kuondoka Na Ugonjwa Humu Nikikaa Sana!
 
Mkuu nachofahamu mimi ni kuwa kwenye majani ya chai kuna caffein na ndo maana unaona inachangamsha yaana kama umekunywa red bulls na vinywaji vingine vyenye caffein.Lakini kaa ukijua hiyo caffein sio mzuri hasa kwa wale wenye vvu ni hatari sana.
 
Tulio wengi tunaujua ule usemi usemao,kila wakati ni wakati wa chai.Na wengi tunapenda kunywa chai kila wakati,nikiri kwamba kwangu mimi ninywapo chai hunichangamsha sana.Kwa kuwa mimi professionally si daktari kumekuwa na tetesi ambapo inasemekana kwamba,baadhi ya majani ya chai hupunguza kwa kiasi kikubwa nguvu za kiume.Je,ni majani aina gani hayo?

Tafadhali mwenye kujua ukweli atujuze.

Sio kweli ila usinywe chai yenye caffein na kuunga sukari,kuna "mchaichai" baba n kiboko ukinywa kwa kuunga asali Asubuhi n jioni one week U will experience strongest erection ever .......
 
Tulio wengi tunaujua ule usemi usemao,kila wakati ni wakati wa chai.Na wengi tunapenda kunywa chai kila wakati,nikiri kwamba kwangu mimi ninywapo chai hunichangamsha sana.Kwa kuwa mimi professionally si daktari kumekuwa na tetesi ambapo inasemekana kwamba,baadhi ya majani ya chai hupunguza kwa kiasi kikubwa nguvu za kiume.Je,ni majani aina gani hayo?

Tafadhali mwenye kujua ukweli atujuze.

Yanayoongez performanc n majan ya chai ya kasongo....yapo kkoo
 
Back
Top Bottom