Je, ni kweli magari huwa yanakaguliwa Ubungo? Basi za kwenda Kigoma; Arizona na Saratoga zimebuma mapema hapa Kimara Stop over

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,279
21,396
Ndio kwanza wameanza safari kuelekea Kigoma, Arizona Gear box imefeli limebuma hapo Kimara, wakati wakiendelea na matengenezo!

Kampuni nyingine ya basi la kwenda Kigoma Saratoga nalo limechemsha limebuma mita mwa 300 kutoka Kimara Stop Over!

Kwa dalili hizi siamini kama ukaguzi pale Ubungo unafanywa ipasavyo!!
 
Pale ubungo Ni usanii tu... Ule mlango wa kutokea mabasi Ni kitega uchumi sio sehemu ya ukaguzi...
 
Ndo kwanza wameanza safari kuelekea kigoma, Arizona Gear box imefeli Limebuma hapo kimara, wakati wakiendelea na matengenezo!

Kampuni nyingine ya basi la kwenda kigoma Saratoga nalo limechemsha limebuma mita mwa 300 kutoka Kimara Stop Over!

Kwa dalili hizi Siamini kama ukaguzi pale ubungo unafanywa ipasavyo!!
Wanakagua kwa kuchungulia kwa macho tu, zaidi huwa naona Traffic police wanatest brake sasa kwa hapo Dar jiulize barabara gani haina foleni kiasi kwamba anayetest anaweza kuliendesha bus kwa spidi ya Km80/saa
 
Inabidi wawe wanazitestia kitonga au vipi
 
Huwa wanapojaribu kwa kiasi kikubwa wanaangalia vitu hatari zaidi vitatu...mfumo wa usukani..mfumo wa breki na matairi.
 
Hiyo route imejaa mateso na ni kama inadharauliwa sana na washika dau
Ndo kwanza wameanza safari kuelekea kigoma, Arizona Gear box imefeli Limebuma hapo kimara, wakati wakiendelea na matengenezo!

Kampuni nyingine ya basi la kwenda kigoma Saratoga nalo limechemsha limebuma mita mwa 300 kutoka Kimara Stop Over!

Kwa dalili hizi Siamini kama ukaguzi pale ubungo unafanywa ipasavyo!!

Jr
 
Hio arizona ina kunguni wakunguni wa kutosha panya na wadudu wengine waharibifu ila nzige sijawah kuwaona humo ila last time kupanda lile dude kuna abiria mwenzetu aliliwa na chatu mule
Waha pia Punguzeni Uchafu khaaaa yaaani hakika nyinyi mko tofauti sana ni wachafu haswaaaa nasema, mbaya zaidi mkiwa safarini mnakula kila kinachotokea mbele yenu ije Mihogo twende, Karanga kanyaga, Vitumbua vyenu, mayai, Mahindi, chips yaaaani ukipanda basi utadhan umeingia dampo la jiji kule Pugu!
Leo mnasema kuna Kunguni na Mende mbona hatuwaoni hao Kunguni kwenye Dar express ya Arusha au New Force ya Tunduma au Frester ya Bukoba, Badilikeni WACHU
 
Ndo kwanza wameanza safari kuelekea kigoma, Arizona Gear box imefeli Limebuma hapo kimara, wakati wakiendelea na matengenezo!

Kampuni nyingine ya basi la kwenda kigoma Saratoga nalo limechemsha limebuma mita mwa 300 kutoka Kimara Stop Over!

Kwa dalili hizi Siamini kama ukaguzi pale ubungo unafanywa ipasavyo!!
poleni sana ! kwa sasa nchi nzima ni kituo kimoja tu pale NIT mabibo ndo unaweza kagua gari na kujua kama lipo Ok au hapana. pale Ubungo wanaangalia kwa macho tu na watest chochote
 
Attachments

  • 0FAF7AD5-59A9-4E30-9092-41A01821C08A.jpeg
    0FAF7AD5-59A9-4E30-9092-41A01821C08A.jpeg
    34.9 KB · Views: 2
  • 3F249A94-6839-490B-8880-5CD700B78E87.jpeg
    3F249A94-6839-490B-8880-5CD700B78E87.jpeg
    43.7 KB · Views: 2
  • D5781A81-B68F-45EE-96DA-63101633BB67.jpeg
    D5781A81-B68F-45EE-96DA-63101633BB67.jpeg
    40.3 KB · Views: 2
  • 11DC8C66-6A01-4B8F-8C40-AE3568BF86CB.jpeg
    11DC8C66-6A01-4B8F-8C40-AE3568BF86CB.jpeg
    32.7 KB · Views: 2
  • 486097C0-0489-4F65-9CDA-285E45C1E4D0.jpeg
    486097C0-0489-4F65-9CDA-285E45C1E4D0.jpeg
    42.1 KB · Views: 2
Waha pia Punguzeni Uchafu khaaaa yaaani hakika nyinyi mko tofauti sana ni wachafu haswaaaa nasema, mbaya zaidi mkiwa safarini mnakula kila kinachotokea mbele yenu ije Mihogo twende, Karanga kanyaga, Vitumbua vyenu, mayai, Mahindi, chips yaaaani ukipanda basi utadhan umeingia dampo la jiji kule Pugu!
Leo mnasema kuna Kunguni na Mende mbona hatuwaoni hao Kunguni kwenye Dar express ya Arusha au New Force ya Tunduma au Frester ya Bukoba, Badilikeni WACHU
Kwahio mtu akipanda arizona lenye chatu anakua muha by default?😬 Nzige kabisa
 
Labda waache kula migebuka ndo akili zitawajia
 
Kwahio mtu akipanda arizona lenye chatu anakua muha by default?😬 Nzige kabisa
We Muhutu nimeona avatar yako, punguzeni uchafu Mkuuu mnatia kichefuchefu kwenye mabasi ya Adventure, Arizona na Saratoga
 
Back
Top Bottom