Je, ni kweli mademu walio mbali na wenzi wao huchepuka maofisini?

Wadau: ambao ni watumishi mkihamishwa muwe mnaondoka na wake zenu ambao ni watumishi , Maana kuna mmoja tumepanga nae nyumba moja mumewe kahamishwaa ni mwaka sasa bado mkewe hajapata uhamisho wa kufuata mume.

Uvumilivu umemshinda najiliaa tu kama mke .
Aaa kumbe ndo zako ndomana nikirudi likizo huwa unanikwepa na unanionea aibu ipo siku yako tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni mtumishi nipo halmashauri ni ukweli usiopingika kwamba ndoa ambazo zipo geographically separated zina hali mbaya Sana kiuhalisia si wanaume si wanawake ni mwendo wa kupakuwa na kupakuliwa, yupo jamaa yangu amewapakuwa karibu 11 humu ofisini na Kati yao 5 ni wake za walio mbali.

Kama mtu anahitaji MKUYENGE kila baada ya siku 2 au 3 halafu mume upo more than 500 kms na uchumi huu wa kuungaunga lazima mtu apakuliwe, ni long-distance marriage ni UPUMBAVU watu hamu enjoy maisha pamoja tena mkiwa vijana mnasubiriana hadi kustaafu ndo muwe pamoja hakika ni mbaya Sana.
Yupo mdada huku mmewe alikuja ghafla hakumkuta nyumbani, kwakuwa ana ufunguo akafungua akaingia ndani akalala hadi monie mtu hajarudi majirani zake wakamtonya akarudi mbio anaulizwa ulikuwa wapi kwa rafiki lakini ilibainika alikuwa kwa msela wake ni aibu tupu.
 
Lisemwalo lipo,,, Never trust women.. Then hakuna jambo litakushangaza..

Japo kuna wengine hawawezi kugongwa ila false the statement hadi itapokuwa proved otherwise..
 
Mimi ni mtumishi nipo halmashauri ni ukweli usiopingika kwamba ndoa ambazo zipo geographically separated zina hali mbaya Sana kiuhalisia si wanaume si wanawake ni mwendo wa kupakuwa na kupakuliwa, yupo jamaa yangu amewapakuwa karibu 11 humu ofisini na Kati yao 5 ni wake za walio mbali.

Kama mtu anahitaji MKUYENGE kila baada ya siku 2 au 3 halafu mume upo more than 500 kms na uchumi huu wa kuungaunga lazima mtu apakuliwe, ni long-distance marriage ni UPUMBAVU watu hamu enjoy maisha pamoja tena mkiwa vijana mnasubiriana hadi kustaafu ndo muwe pamoja hakika ni mbaya Sana.
Yupo mdada huku mmewe alikuja ghafla hakumkuta nyumbani, kwakuwa ana ufunguo akafungua akaingia ndani akalala hadi monie mtu hajarudi majirani zake wakamtonya akarudi mbio anaulizwa ulikuwa wapi kwa rafiki lakini ilibainika alikuwa kwa msela wake ni aibu tupu.
Uko halmashaur gn
 
Back
Top Bottom