Je, ni kweli maambukizi ya COVID-19 yamepungua nchini au ni propaganda tu?

Ok Kwa mjibu wa Matamko na taarifa ya Sekali Tunapaswa kuamini kuwa maambuki ya covid 19 yamepungua
Hili halina mjadala wala mjadala
Tuiamini Selikali yetu na Watendaji wake.
 
Yatupasa kukubali maelezo ya Serikali.kwamba maambukizi ya Covid 19 yamepungua baada ya jitihada kadhaa kufanyika ikiwa ni pamoja na maombi kwa Mungu Mtakatifu.
 
Serikali ya waongo:

"Kwa taarifa ya leo mpaka mchana, kutoka katika vituo vya kutolea huduma vya Serikali na Binafsi wagonjwa wa Corona nchini wamebaki 66 katika Mikoa 10, katika Mikoa 16 haina wagonjwa ikiwemo Arusha, Kagera, Katavi, Manyara, Pwani, Rukwa" - Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.

Tunataka ukwel siyo uongo uongo wa corona imekwisha kumbe bado ipo hata WHO kuwa na wasiwasi kinachoendelea nchini. Kwanini MNAUHOFIA ukweli kuhusu huu ugonjwa? Mbona nchi za majirani wanaweka updates zao hadharani? Kwa Tanzania kuukumbatia UONGO tatizo ni nini?

Seven Tanzanian fishermen who were rescued after their boat capsized in the Indian Ocean three days ago have been quarantined in Kilifi County, coastal Kenya.

Tanzania fishermen quarantined in Kenya

Fresh row at the Tanzania-Kenya border over Covid-19 tests
 
Subir yakukute ndo utajua COVID 19 ipo au laa! Tuendelee kujilinda matumaini yapo GET WELL SOON MY LOVED ONES! Dunia bila nyie! Itakuwa ngumu zaidi! Nawaombea mpone haraka
 
Nakumbuka Jumapili Rais alisema maambukizi yamepungua nchini ya covid 19

Kuna maswali ya msingi ya kujiuliza.

Je, maabara baada ya kutuambiwa inatatizo isharekebishwa lini?
Je, ni lini ilianza kupima wagonjwa wapya wa covid 19?
Je, kama nzima mbona takwimu hazitolewi za wagonjwa wapya na waliopona?
Je, takwimu za Rais za wagonjwa alionao ni baada ya mashine kupona au la?
Je, mashine iliyotumika mtoto wake alipimwa kwa mashine zipi au hiyo hiyo aliyoishutumu?
Je, vituo alivyotaja rais ndivyo vilivyopo nchi nzima vya wagonjwa wa vovid19?
Je, kwanini madereva tuambiwe wanakorona ikiwa nchini maambukizi yamepunguwa?
Yamepungua baada ya kubadilisha jina la ugonjwa kutoka COVID-19 kwenda changamoto za kupumua.
 
Tumia Muda mwingi kusali,kujikinga na kuikinga familia yako.Wanaume kamili kukosa hela ni homa kubwa kuliko hiyo Corona yako.Usilazimishe watu kuwa na hofu na taharuki wakati wenyewe hatuvitaki hivyo vipengele.
Nakumbuka Jumapili Rais alisema maambukizi yamepungua nchini ya covid 19

Kuna maswali ya msingi ya kujiuliza.

Je, maabara baada ya kutuambiwa inatatizo isharekebishwa lini?
Je, ni lini ilianza kupima wagonjwa wapya wa covid 19?
Je, kama nzima mbona takwimu hazitolewi za wagonjwa wapya na waliopona?
Je, takwimu za Rais za wagonjwa alionao ni baada ya mashine kupona au la?
Je, mashine iliyotumika mtoto wake alipimwa kwa mashine zipi au hiyo hiyo aliyoishutumu?
Je, vituo alivyotaja rais ndivyo vilivyopo nchi nzima vya wagonjwa wa vovid19?
Je, kwanini madereva tuambiwe wanakorona ikiwa nchini maambukizi yamepunguwa?
 
Kwa sasa naona ni ukweli kabisaaa kuwa CORONA HAKUNA TZ na kama ipo basi HAINA NGUVU kama kwa wenzetu
 
Corona ipo na inauwa sana sema tu hao wanaokufa hawana ndugu wala jamaa wa kuwatolea ushuhuda,kwahiyo ni suala la wewe mwenyewe kuamua uamini kwamba corona haipo/imepungua au ipo na inauwa sana ila hakuna ushuhuda.
 
Kama ingekuwepo na kuua kwa kiwango unachokiongelea hata humu Jf tungeona maana hao ndugu na jamaa wakutoa ushuhuda wamo humu kwa idadi ya members walio humu
 
Kama ingekuwepo na kuua kwa kiwango unachokiongelea hata humu Jf tungeona maana hao ndugu na jamaa wakutoa ushuhuda wamo humu kwa idadi ya members walio humu
Ndio maana nasema zipo chaguzi mbili kwamba mtu achague kuamini kuwa corona ipo na inauwa sana ila hakuna ushuhuda Au kuchagua kuamini kwamba corona haipo/imepungua.
 
Kama ingekuwepo na kuua kwa kiwango unachokiongelea hata humu Jf tungeona maana hao ndugu na jamaa wakutoa ushuhuda wamo humu kwa idadi ya members walio humu
Maelezo yafuatayo ni ya Mmarekani, yanajieleza yenyewe
Screenshot_20200710-223311_Twitter.jpg
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom