Je, ni kweli maambukizi ya COVID-19 yamepungua nchini au ni propaganda tu?

Jamani mfano mdogo ni hapa JF members karibu wote wanaokuwaga active sana naona wote wapo na wanaendelea na uchangiaji. Corona ingekuwa na spidi hiyo si tungekuwa tunaona rip za kutosha humu
 
Well said, be blessed Unacho kusema ni sahihi kabisa tulio wengi hatujasikia au kushuhudia vifo au maambukizi mengi ya corona Nchini, sasa wanao dai eti hospitali nyingi zimejaa wagonjwa na vifo lukuki, habari hizo wanazihibuwa wapi?
Angalau wangeweka hapa ushuhuda wa hospitali au kituo kimoja cha wagonjwa wa COVID-19 kuthibitisha uwongo wa Serikali. Naamini uwezekano wa kupata taarifa hiyo ni mkubwa kutoka kwa mfanyakazi yeyote wa hospitali mojawapo.
 
Mpaka leo sijasikia taarifa ya ndugu yangu yoyote kuumwa wala kufariki kwa ugonjwa wa korona wala kwa ndugu wa rafiki zangu wanaonizunguka.
#Magufuli genius

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnacho taka ni nini hasa? JPM aseme kwamba Watanzania maelfu wamekwisha poteza maisha na mamillion wamegundulika ni corona positive, naona habari kama hizo zitawafurahisha saana maadui wa Dk.Magufuli kama nyinyi - hulka zenu hazina tofauti na baadhi ya Wakenya, mara zote wanaitakia mabaya Tanzania.

Mko hivyo hivyo ma flip flopper par excellence, hamna kanuni kama garimoshi la kwenda Mpanda - Magufuli akisema ugonjwa umepungua sana Nchini nyinyi mnedai kwamba hasemi ukweli, kama angesema wagonjwa na vifo ni vingi nyinyi mgesema Magufuli nchi imemshinda, ndio mlivyo.
Mungu akubariki pumzi uendelee kuwapa makavu yao
 
Well said, be blessed Unacho kusema ni sahihi kabisa tulio wengi hatujasikia au kushuhudia vifo au maambukizi mengi ya corona Nchini, sasa wanao dai eti hospitali nyingi zimejaa wagonjwa na vifo lukuki, habari hizo wanazihibuwa wapi?
Watuletee ushahidi wa picha na videos wanaodai kwamba wagonjwa wamejazana
 
Mpaka leo sijasikia taarifa ya ndugu yangu yoyote kuumwa wala kufariki kwa ugonjwa wa korona wala kwa ndugu wa rafiki zangu wanaonizunguka.
#Magufuli genius

Sent using Jamii Forums mobile app
Watuletee ushahidi wa picha na videos wanaodai kwamba wagonjwa wamejazana
Ushahidi waupate wapi ni porojo za mitandaoni za wafuasi wa upinzani ambao wamebanwa kila kona hawana pa kutokea zaidi ya kuomba dua ili mabaya yatokee ya kumdharilisha Rais na viongozi wenzake

Kwa jinsi walivyokosa agenda ingekuwa ni kweli kuna maambukizi mengi na hospitali zimejaa, viongozi wa upinzani wangeenda na jopo la waandishi wa habari kuutangazia ulimwengu na picha kibao.
 
Wanahangaika sana!! Wasipoteze upepo wao kujisumbua kumchafua mheshimiwa, hawataweeeza, magufuli lazima atawale tu!
 
Mi kinachonishangaza hizi nchi zilizopiga lockdown kwann zenyew ndo zinaongoza kwa vifo vya covid?
 
Mpaka leo sijasikia taarifa ya ndugu yangu yoyote kuumwa wala kufariki kwa ugonjwa wa korona wala kwa ndugu wa rafiki zangu wanaonizunguka.
#Magufuli genius

Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda Njiro kaulizie taarifa za VIFO utapewa list ya waliodanja mfululizo,Mwezi wa nne mpaka wiki moja ya May tulichakazwa sana na KOVIDI ila kwa sasa imepungua ila bado ipo inapiga wachache!!

Ali Mafuruki alifariki kwa "Homa ya Mapafu" December wakati KOVIDI ndio inaingia kwahiyo kuanzia Dec hadi February ilikuwepo sema watu walikuwa hawajaistukia na iliondoa watu sana hapa!!
 
Tunataka ukwel siyo uongo uongo wa corona imekwisha kumbe bado ipo hata WHO kuwa na wasiwasi kinachoendelea nchini. Kwanini MNAUHOFIA ukweli kuhusu huu ugonjwa? Mbona nchi za majirani wanaweka updates zao hadharani? Kwa Tanzania kuukumbatia UONGO tatizo ni nini?

Seven Tanzanian fishermen who were rescued after their boat capsized in the Indian Ocean three days ago have been quarantined in Kilifi County, coastal Kenya.

Tanzania fishermen quarantined in Kenya

Fresh row at the Tanzania-Kenya border over Covid-19 tests

Mnacho taka ni nini hasa? JPM aseme kwamba Watanzania maelfu wamekwisha poteza maisha na mamillion wamegundulika ni corona positive, naona habari kama hizo zitawafurahisha saana maadui wa Dk.Magufuli kama nyinyi - hulka zenu hazina tofauti na baadhi ya Wakenya, mara zote wanaitakia mabaya Tanzania.

Mko hivyo hivyo ma flip flopper par excellence, hamna kanuni kama garimoshi la kwenda Mpanda - Magufuli akisema ugonjwa umepungua sana Nchini nyinyi mnedai kwamba hasemi ukweli, kama angesema wagonjwa na vifo ni vingi nyinyi mgesema Magufuli nchi imemshinda, ndio mlivyo.
 
Waliosema kuwa vitendea kazi vya kupimia havifai ni nani? Sasa hao mnaosema mmewatambua mmewatambuaje kwa kutumia NYUNGU? Mbona hamsemi kuwa mnavitendea kazi vya uhakika sasa na ndio maana hata mtoto wa JPM akagundulika na corona!!

Tunaposema kuwapima wananchi wote ni figurative pengine hilo huelewi ; lakini ukiwapima wananchi wa kutosha hapo tunaweza kusema kuna jitihada za kuzuia kuenea kwa ugonjwa na hiyo ndio sababu ya kuwapima watu ili uweze kuwafuatilia wale ambao wanaweza kuwa na maambukizi.

Sasa sisi tunafukia kichwa chetu kama mbuni kwenye mchanga na kuwalisha wananchi matango pori a' la Makonda kuwa corona imekwisha na watu waache hata kuvaa barakoa!!! Kutokuwapima representative sample ya population yetu ndio kunaifanya serikali kutotoa takwimu sahii za ugonjwa huu na hasa kuhusu idadi ya wananchi waliokwisha kupimwa nchi nzima!!!!
Lawama tuuu, mwanzo mwisho! Ebu tuchukuliemfano wa Taifa tajiri kama USA yenye idadi ya raia Million
350+ unawezakutupatia takwimu wangapi wamepima kama wana maabukizi ya Corona, sembuse Tanzania?

Msichukulie kila kitu kisiasa siasa kama njia yaku get even na JPM, hicho ndicho nakiona mimi. Ukweli wa mambo ni kwamba JPM vita ya Corona ameishughulikia kisomi kabisa, Mugufuli ni mega smart upstairs katika nyanja za ubunifu ulio tukuka na uthubutu wa hali ya juu kabisa - chukulia mfano wa kubaini kwamba COVID-19 test kits/machine nyingi zimekuwa tinkered around delibately to give positive results hata ambapo hapastaili wakiwa na lengo la kuleta taharuki kwa wananchi pamoja na Taifa kwa jumla - matokeo hayo ya kupikwa si kwa bahati mbaya ni hidden agenda ya ma-agents wa makampuni makubwa ya kutengeneza chanjo pamoja na makampuni ya ku-synthesize anti viral drugs wakishirikiana na wafanyakazi wa WHO wenye nyadhifa kwenye key posts za WHO ambao wengi wao ni raia wa Merikani, genge hilo lilisha jipanga ku-siphon taxpayers money na funds za WHO big time.
 
Tunataka ukwel siyo uongo uongo wa corona imekwisha kumbe bado ipo hata WHO kuwa na wasiwasi kinachoendelea nchini. Kwanini MNAUHOFIA ukweli kuhusu huu ugonjwa? Mbona nchi za majirani wanaweka updates zao hadharani? Kwa Tanzania kuukumbatia UONGO tatizo ni nini?

Seven Tanzanian fishermen who were rescued after their boat capsized in the Indian Ocean three days ago have been quarantined in Kilifi County, coastal Kenya.

Tanzania fishermen quarantined in Kenya

Fresh row at the Tanzania-Kenya border over Covid-19 tests

Kama hamuelewi lengo la Kenya dhidi ya Taifa letu ni nini, basi nyinyi ni rahisi kutumiwa na maadui wa Taifa letu.

Leo hii Kenya imesema baadhi ya mashini za kupimia maambukizi ya virus zina walakini mkubwa - sasa wewe kama Mtanzania unawezaje kuamini vipimo wanavyo fanyiwa Watanzania huko Kenya.[/QUOTE]
 
Kenya hawana lengo lolote baya na Tanzania wewe acha uzushi wako. Mbona Kikwete alielewana nao!?

Nakumbuka Jumapili Rais alisema maambukizi yamepungua nchini ya covid 19

Kuna maswali ya msingi ya kujiuliza.

Je, maabara baada ya kutuambiwa inatatizo isharekebishwa lini?
Je, ni lini ilianza kupima wagonjwa wapya wa covid 19?
Je, kama nzima mbona takwimu hazitolewi za wagonjwa wapya na waliopona?
Je, takwimu za Rais za wagonjwa alionao ni baada ya mashine kupona au la?
Je, mashine iliyotumika mtoto wake alipimwa kwa mashine zipi au hiyo hiyo aliyoishutumu?
Je, vituo alivyotaja rais ndivyo vilivyopo nchi nzima vya wagonjwa wa vovid19?
Je, kwanini madereva tuambiwe wanakorona ikiwa nchini maambukizi yamepunguwa?
Ukisikiliza kauli za kijinga utakuwa mjinga pia! Jilinde binafsi.
 
Kenya hawana lengo lolote baya na Tanzania wewe acha uzushi wako. Mbona Kikwete alielewana nao!?

Mkuu kunani mbona unawatetea sana wakenya! Kweli huamini kwamba kunaweza kuwa na ajenda ya siri nyuma ya matangazo ya wakenya kuhusu corona kwa madereva wa Tanzania? Ni kweli hujui fitna za hawa majirani linapokuja swala la biashara na utalii.
 
Hawawezi kufanya hujuma kama sisi wenyewe tunakuwa makini. Kwanini wageni wengi waliopanda Mt Kilimanjaro au kuufahamu wanasema uko Kenya na siyo Tanzania? Kama sisi wenyewe tunazembea kujitangaza duniani ili watalii wajue Tanzania tuna vivutio gani kwa Watalii basi Kenya hawawezi kubadili ukweli husika kwamba Mt Kilimanjaro iko Tanzania. Kama tunazembea wa KULAUMIWA ni Serikali ya Tanzania na siyo Kenya.

Mkuu kunani mbona unawatetea sana wakenya! Kweli huamini kwamba kunaweza kuwa na ajenda ya siri nyuma ya matangazo ya wakenya kuhusu corona kwa madereva wa Tanzania? Ni kweli hujui fitna za hawa majirani linapokuja swala la biashara na utalii.
 
Tunataka ukwel siyo uongo uongo wa corona imekwisha kumbe bado ipo hata WHO kuwa na wasiwasi kinachoendelea nchini. Kwanini MNAUHOFIA ukweli kuhusu huu ugonjwa? Mbona nchi za majirani wanaweka updates zao hadharani? Kwa Tanzania kuukumbatia UONGO tatizo ni nini?

Seven Tanzanian fishermen who were rescued after their boat capsized in the Indian Ocean three days ago have been quarantined in Kilifi County, coastal Kenya.

Tanzania fishermen quarantined in Kenya

Fresh row at the Tanzania-Kenya border over Covid-19 tests
Kama waandishi wa habari au viongozi wa kisiasa, wenye maslahi ya kuongoza nchi, hawajatoa ushahidi kuwa maambukizi na vifo ni vingi, kwa kutembelea vituo vilivyotengwa na hospitali kadhaa, ni dhahiri ugonjwa umepungua
 
Hawawezi kufanya hujuma kama sisi wenyewe tunakuwa makini. Kwanini wageni wengi waliopanda Mt Kilimanjaro au kuufahamu wanasema uko Kenya na siyo Tanzania? Kama sisi wenyewe tunazembea kujitangaza duniani ili watalii wajue Tanzania tuna vivutio gani kwa Watalii basi Kenya hawawezi kubadili ukweli husika kwamba Mt Kilimanjaro iko Tanzania. Kama tunazembea wa KULAUMIWA ni Serikali ya Tanzania na siyo Kenya.
Sasa mbona tunapo fight back kama Taifa kuionyesha dunia kwamba mengi wakenya wanayoyafanya na kusema kuhusu Tanzania sio sahihi na wanakuwa na ajenda zao za siri bado unawalaumu Watanzania!
 
How do we fight back? While the Tanzania government is the one to blame? Tell me any other country in this World with similar situation when it comes to one or more of the their tourists attractions?

Back
Top Bottom