Soma tena acha ushabiki wa KisiasaNafikiri, nionavyo, nadhani
Kwani wewe ndugu zako wangapi wagonjwa mpaka sasaNakumbuka Jumapili Rais alisema maambukizi yamepungua nchini ya covid 19
Kuna maswali ya msingi ya kujiuliza.
Je, maabara baada ya kutuambiwa inatatizo isharekebishwa lini?
Je, ni lini ilianza kupima wagonjwa wapya wa covid 19?
Je, kama nzima mbona takwimu hazitolewi za wagonjwa wapya na waliopona?
Je, takwimu za Rais za wagonjwa alionao ni baada ya mashine kupona au la?
Je, mashine iliyotumika mtoto wake alipimwa kwa mashine zipi au hiyo hiyo aliyoishutumu?
Je, vituo alivyotaja rais ndivyo vilivyopo nchi nzima vya wagonjwa wa vovid19?
Je, kwanini madereva tuambiwe wanakorona ikiwa nchini maambukizi yamepunguwa?