ras mkweli
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 280
- 104
Tanzania inaaminika kuwa nchi yenye mali nyingi sana kama vile madiniya thamani, vivutio mbalimbali, ardhi nzuri ya kilimo, maziwa makubwa matatu yaliyoizunguka kiasi kwamba wananchi wake hawakupaswa kuwa maskini na ukarimu mwingi sana. Lakini cha ajabu Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazoongoza kuwa maskini na wananchi wenye maisha magumu sana.
Je, ni kweli kwamba Watanzania hawana uelewa wa kutumia utajiri walionao nchini kwao? au unahisi sababu ni nini?
Je, ni kweli kwamba Watanzania hawana uelewa wa kutumia utajiri walionao nchini kwao? au unahisi sababu ni nini?