Je ni kweli kwamba wasichana wanaogopa mimba kuliko ukimwi?

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,063
4,058
Wandugu wapendwa,
nimetembea na wasichana wengi sana kiasi kwamba nikagundua kuwa wote wanaogopa mimba kuliko ukimwi.
Je wewe unasemaje kuhusu hilo?
 
The difference is the same! Unapofanya TENDO bila kinga yoyote maana yake you are exposed to BOTH: MIMBA au VVU/UKIMWI. Ndiyo maana takwimu zinaonyesha kuwa watu walioko kwenye NDOA wako vunerable zaidi kupata ukimwi/VVU...

Risk pia inaongezeka mwanamke anapokuwa na ujauzito at the same time meambukizwa. Kwa maana hiyo basi hao "wanawake WENGI" uliotembea nao wanaonyesha kuogopa mimba kuliko ukimwi ikiwa na mantiki kuwa - usijamiiane nao bila kinga maalumu vinginevyo uwe tayari kuoa moja kwa moja. And in so doing kama ulikuwa una-pass time ni lazima utafikiria consequencies za mimba kabla ya VVU/UKIMWI.
 
Hi ni kweli na haswa watoto wa shule na wanafunzi wa vyuo. Hao ndio wateja wakuu wa Deppo Provera!.
 
Wandugu wapendwa,
nimetembea na wasichana wengi sana kiasi kwamba nikagundua kuwa wote wanaogopa mimba kuliko ukimwi.
Je wewe unasemaje kuhusu hilo?

ghaaarrrrr HUONI hata haya kujieleza kuwa umetembea na wanawake wengi, what especial unachotafuta kwa hao wengi??? ukimwi, mimba, starehe, experience au nini haswaa??? ukiona wanaogopa mimba kuliko ukimwi basi tambua lifuatalo:
HAO WAMEKWISHA ATHIRIKA NA VVU HIVYO HAWANA HOFU TENA YA KUUPATA UKIMWI MARA MBILI, KINACHOWASUMBUA SASA NI KUTOKUPATA MIMBA ILI WASIJE KUTIBUA VIDUDU VILIVYOLALA.... get that into your skull.......:rolleyes:
 
Haha haaha hahaaaaa....
Huyu mwenzetu kweli hamnazo.
Hata kama alikuwa anafanya utafiti angewaweka front line watu wengine.
Ona yeye kajitoa muhanga mzimamzima,
sijui kama angebabuliwa na umeme kabla hajamaliza utafiti wake hali ingekuwaje?
 
Wandugu wapendwa,
nimetembea na wasichana wengi sana kiasi kwamba nikagundua kuwa wote wanaogopa mimba kuliko ukimwi.
Je wewe unasemaje kuhusu hilo?
Inaelekea ukiranja mkuu wako umeutumia vibaya................. Shuleni ukipata ukimwi hufukuzwi ila ukipata mimba wanakutoa baru fasta, hivyo kwa wanafunzi ni kweli.........kwamba wanaogopa sana mimba kuliko ngoma
 
huh! makubwa hayo...!!!!!!
 
ghaaarrrrr HUONI hata haya kujieleza kuwa umetembea na wanawake wengi, what especial unachotafuta kwa hao wengi??? ukimwi, mimba, starehe, experience au nini haswaa??? ukiona wanaogopa mimba kuliko ukimwi basi tambua lifuatalo:
HAO WAMEKWISHA ATHIRIKA NA VVU HIVYO HAWANA HOFU TENA YA KUUPATA UKIMWI MARA MBILI, KINACHOWASUMBUA SASA NI KUTOKUPATA MIMBA ILI WASIJE KUTIBUA VIDUDU VILIVYOLALA.... get that into your skull.......:rolleyes:

Anasikitisha...
 
Jibu ni ndio, na sio kwa wasichana tuu, hii ni pale ambapo watu wanaona UKIMWI hauwahusu haswa anapo tembea na mtu ambaye ana muamini, kuona huyu kijana hawezi kua na ukimwi ila mimba ni rahisi kupata wakati wowote.
 
Wandugu wapendwa,
nimetembea na wasichana wengi sana kiasi kwamba nikagundua kuwa wote wanaogopa mimba kuliko ukimwi.
Je wewe unasemaje kuhusu hilo?
Duu kweli wewe ni Kiranja Mkuu,unaona raha kujisifia kwa ufuska.Kivipi hebu fafanua tafadhali
 
Inawezekana kweli ila sijajua hao uliotembea nao ulikuwa umeahidiana nao kuoana au ulikuwa unajiburudisha tu..............kama wewe ni mzee wa atm na lengo lako ni kujiburudisha basi hakuna msichana anaeogopa ukimwi isipokuwa atajali zaidi pesa................
kwani umetembea nao wangapi kaka?
UNATISHA KAMA WEWE SIO MSAMABAZA SIJUI......
 
True.
Juzi tu i was talkin to the friend to my girlfriend aka confess kwamba anatumia family planning. Nikammuliza, 'Kwaiyo unaogopa mimba na sio ukimwi?' She didn't answer. she has several boyfiends.
 
Wandugu wapendwa,
nimetembea na wasichana wengi sana kiasi kwamba nikagundua kuwa wote wanaogopa mimba kuliko ukimwi.
Je wewe unasemaje kuhusu hilo?
Plz andika swali sio majibu. Pia hao ni rahisi kukupa tigo kuliko kukupa amana kama siku sio nzuri au simba wanafanya mazoezi.
 
Umesema wasichana au wanawake? How old r u?
Ukisema baadhi ya wasichana wanafunzi nitakuelewa.
 
Back
Top Bottom