Je, ni kweli kwamba wanawake weupe ni wazuri sana kuliko weusi?

Kinachoibeba rangi nyeupe popote pale ni ile hali ya kutambulika kwa haraka kupitia mng'ao wake na si kwamba ni Bora zaidi ya black. Nilikuwa cjadet na black kwani nilikuwa na mtazamo huo huo wako mwandishi, baada ya kujaribu mmoja nikaenda wa pili, nikaja kugundua kuwa Black is beautiful na watamu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
hahaaaaa good point Mkuu
 
dfe571e93f4c4f13809be1fa5af554ee.jpg

Weusi wa hivi ndio wazuri kuliko wote.
 
Hivi jamani kuna ukweli wowote kwamba wanawake weupe ni wazuri sana kuliko weusi maana marafiki zangu wanabisha sana kuhusu hilo na je ni kwanini mwanamke mweupe anaangaliwa sana barabarani kuliko mweusi wakiwa wameongozana.
Inategemea na ushamba wa mtu.

Wale ndugu zetu washamba wa taifa, ndiyo wana akili hiyo.
 
Hivi jamani kuna ukweli wowote kwamba wanawake weupe ni wazuri sana kuliko weusi maana marafiki zangu wanabisha sana kuhusu hilo na je ni kwanini mwanamke mweupe anaangaliwa sana barabarani kuliko mweusi wakiwa wameongozana.
Weupe kama karatasi au? Weusi kama mkaa au?
Maana sijawahi kuwashuhudia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi jamani kuna ukweli wowote kwamba wanawake weupe ni wazuri sana kuliko weusi maana marafiki zangu wanabisha sana kuhusu hilo na je ni kwanini mwanamke mweupe anaangaliwa sana barabarani kuliko mweusi wakiwa wameongozana.
Wengi wazuri sana kwa nje ila ndani hovyo!
Mfano demu wa kiarabu huwezi kulinganisha na mashine ya demu mweusi huwa ya moto halafu mnato

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi jamani kuna ukweli wowote kwamba wanawake weupe ni wazuri sana kuliko weusi maana marafiki zangu wanabisha sana kuhusu hilo na je ni kwanini mwanamke mweupe anaangaliwa sana barabarani kuliko mweusi wakiwa wameongozana.
Ungefafanua na race, mfano, mzungu, mhindi, mwarabu, au mmakonde.
 
binafsi ni muumini wa wanawake weusi unipa mzuka sana yaani mpaka nachanganyikiwaga nikiwaona
NB;nina kinyaa mnoo na wanawake wanaojichubua....yaanii...
 
  • Thanks
Reactions: _ID
It is just a matter of mental slavery! That`s why Bob Marley sang " Emancipate yourselves from mental slavery, none but ourselves can free our minds, have no fear for atomic energy .`Cause none of them can stop the time..." (Redemption song).

Utumwa wa kiakili kufikiria eti mwanamke mweupe ndie mwanamke mzuri, wakati 2PAC ali foka " The darker the berry the sweeter the juice..." (Keep Ya Head Up).
 
Kila MTU na mtazamo wake isee binafsi mm ni black na siwezi kudate na demu black hata kisayansi kuna rules hiyo "" like poles repel while unlike poles attract to each others"" sasa mm ni nani nibishane na wanasayansi.....

by the kila mtu ana principal zake na uzuri wa mtu unatofautiana kulingana na mtazamo baina ya MTU mmoja na mwingine ndo maana muumba wetu alituumba tofauti tofauti na kwa muonekano tofauti tofauti, machoni pako unaweza ukavutiwa na mdada/mkaka Fulani lakini mwingine akawa tofauti na ww ....

don't waste your time on lecturing me, this is 2020
 
Gari nyeupe haivutiii, kwaaajili ya maskini hata ukipiga puti unaweza kuendelea na safari bila kupaka rangi na pia ni bei rahisi.
Si wanawake tu kitu chochote chenye bright color huwa kina attract. Hata kwa wanaume akipita mwarabu na msouth Sudan wa kwanza utakayemuangalia ni muarabu. Black is beauty but not attractive

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom