Je ni kweli kwamba uliemtoa B.K huwezi kuachana nae??

Digaller

JF-Expert Member
Oct 20, 2009
745
427
Poleni na hangover za wkend huku mkisubiri hangover 2 next week inatoka. Tukiachana na hayo, ni kwamba nilikuwa na girlfriend ambae mimi ndio nilikuwa mtu wa kwanza kumake nae love na tukaachana kama miaka 3 iliyopita, Jana nimeonana nae na jioni akanitext anaomba kurudia game tena na mimi nimevutika nione amekuwaje now. Je hii inadhihirisha kuwa waliooneshana ukubwa hawaachani au ni nyeg* zetu tu ndo zinatusumbua?.
 
Ni nyege zenu tu zina wasumbua.....
 
Hata mie wala simfeel. In fact I hate him since he took advantage of my innocence! Labda wale ambao wana anza hayo mambo wakiwa 25 plus ndio wanaweza kukumbuka.
 
mmmhhhh
jamni daaahhhh
Hata simkumbuki

Hahahahah, kama hukumbuki basi hujawahi kukutana nae na kama umewahi basi mwenzio ndio anakuwa na hizo hisia bt anaogopa kukuambia either kwa ukali wako,uheshimiwa wako n.k. LOL
 
vp km mngekuwa mmeachana kwa wema,could u spend sometimes again
 
Hivi mimi nilimuanza nani vileeee! Aaaa, ngoja nikumbuke then nitarudi tena hapa jamvini.
 
Hata mie wala simfeel. In fact I hate him since he took advantage of my innocence! Labda wale ambao wana anza hayo mambo wakiwa 25 plus ndio wanaweza kukumbuka.

Mkuu inategemea mliachana vipi, kama mliachana kwa ugomvi basi hutomtamani ila kama mliachana peaceful basi yawezekana ukamtamani, naomba jaribu kutafakari then nipe matokeo. LOL
 
duuh kama ndo hvyo nami natafuta wangu nianze nae

Kama hajaolewa mtafute na kumbuka ukimwi unaua so ni vizuri ukimshauri kabla ya ku-do mkacheck afya zenu ila kama ameolewa mpotezee kumbuka mke wa mtu/mume wa mtu sumu. LOL
 
Mkuu inategemea mliachana vipi, kama mliachana kwa ugomvi basi hutomtamani ila kama mliachana peaceful basi yawezekana ukamtamani, naomba jaribu kutafakari then nipe matokeo. LOL

Mnaweza mkaachana kwa ugomvi lakini kila mtu akawa bado ana-appreciate ufundi wa mwenzie wakati wa mavituzi. Sasa kama mmekaa mbali kwa miaka zaidi ya 3 then mnakutana ghafla, zile internal feelings zinakuwa activated na kuanza kutamani m-rewind ule mchezo. Tatizo ni nani aanze kumwonyesha mwenzie hisia za mapenzi. Kwa madume ya mbegu kama sisi, hatukawii kupata lugha ya kuanzia na hatimaye kupata ile kitu inamesa mwenzie.
 
Hivi mimi nilimuanza nani vileeee! Aaaa, ngoja nikumbuke then nitarudi tena hapa jamvini.

Hahahahaha, mkuu kwanza yaonekana umetoa B.K nyingi sana, nakushauri usifuatilie bali utulie na umpendae kwa sasa afu yawezekana wote uliowatoa wana watu wao kwa sasa na kumbuka mke/mume wa mtu sumu. LOL
 
ntatafuta kifaa cha ukweli nami nikate utepe.

unawakumbuka wale jamaa wa Makongo walioimba hv "nataka kikoombee kikombe, nataka kikombe nivunje mm mwenyewe. kikombe changu cha thamani nikichukue nikiweke ndani kisijekuliwa na majirani"
 
kwahyo ss ambao tutapata wapenzi used tujiandae kuchakachuliwa tu
 
Mnaweza mkaachana kwa ugomvi lakini kila mtu akawa bado ana-appreciate ufundi wa mwenzie wakati wa mavituzi. Sasa kama mmekaa mbali kwa miaka zaidi ya 3 then mnakutana ghafla, zile internal feelings zinakuwa activated na kuanza kutamani m-rewind ule mchezo. Tatizo ni nani aanze kumwonyesha mwenzie hisia za mapenzi. Kwa madume ya mbegu kama sisi, hatukawii kupata lugha ya kuanzia na hatimaye kupata ile kitu inamesa mwenzie.

Thankx kwa kunisaidia mkuu, naona hiyo kitu mimi inanisumbua sana. I appreciate
 
Inategemea moyo wa mtu, kikubwa kama amepima H.I.V na imekuwa negative kwanini usifanye??. Ningefanya mkuu

dah sasa moyo wako haukusuti kwamba unamsaliti wako wa wakti huo,vp nae akiamua kufanya na wake wa kitambo.
 
ntatafuta kifaa cha ukweli nami nikate utepe.

unawakumbuka wale jamaa wa Makongo walioimba hv "nataka kikoombee kikombe, nataka kikombe nivunje mm mwenyewe. kikombe changu cha thamani nikichukue nikiweke ndani kisijekuliwa na majirani"

Mkuu kama umri umeenda usiangaike na hiyo kitu kuz utaonekana fataki na hutopata hicho unachotafuta, cha msingi tulia na umpendae na fahamu kuwa utakuwa unamegewa na wa kwnza. Ukimwi unaua kijana
 
dah sasa moyo wako haukusuti kwamba unamsaliti wako wa wakti huo,vp nae akiamua kufanya na wake wa kitambo.

Ndo maisha yalivyo mkuu ila kwakuwa nipo single si mbaya, kama ningekuwa nimevuta jiko ningetafakari kwa muda mrefu sana na mwisho ningekuwa mbayuwayu. LOL
 
Back
Top Bottom