Je, ni kweli kwamba Hasheem ni mkenya?

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Hivi majuzi nilipokuwa Kenya, nilisoma gazetini (Taifa Leo) kwamba Hasheem Thabeet ambaye karibuni atajiunga na NBA, kwamba ana asili ya UKENYA.Ndugu zake ni watu wa Malindi heti

Wakenya siyo mara yao ya Kwanza kuzusha mambo kama hayo, na watanzania wengi tumekuwa tukiamini maswala kama haya. Mimi swali langu ni je, Hakuna mtanzania mwenze akili ambaye hawezi kuhusishwa na nchi Jirani?

-Zitto Kabwe wengi wamenzushia kwamba ni Mganda

-Joni Mashaka Naye Kaitwa Mkenya ilhali ni Mkurya.

-January Makamba Mtu wa Tanga kazushiwa Utaita;
-Mwakijiji Kazushiwa Umalawi

Je, ni kwanini watanzania hatuwezi kusimama na kujitetea?

Bila Kusahau kwamba mlima Kilimanjaro na Serengeti vipo kenya.Je kila kizuri cha kitanzania kwa nini kihusishwe na UKENYA?
 
Hivi majuzi nilipokuwa Kenya, nilisoma gazetini (Taifa Leo) kwamba Hasheem Thabeet ambaye karibuni atajiunga na NBA, kwamba ana asili ya UKENYA.Ndugu zake ni watu wa Malindi heti

Wakenya siyo mara yao ya Kwanza kuzusha mambo kama hayo, na watanzania wengi tumekuwa tukiamini maswala kama haya. Mimi swali langu ni je, Hakuna mtanzania mwenze akili ambaye hawezi kuhusishwa na nchi Jirani?

Je ni kwa nini watanzania hatuwezi kusimama na kujitetea????

Tusimame tujitetee nini na wew RA?? Its Ok, Hata Obama tuliwahi sikia kwamba ana damu ya tanganyika, we all sail on the same boat..
 
Kama hivyo hakuna mtanzania halisia basi....labda mgogo .....la sivyo balaa...kilakabila lina asili yake na wengi walihama hama....
 
mhhhh wamatumbi tu ndio sijasikia wametoka nchi jirani maaaana kila kabila asili yao si bongooo na hasa wakiwa wenye vipaji lakini hakuna anae claim ombaomba wa wa barabarani kwamba ni wakenya wala uganda.................
 
Mbona title umeipindisha kidogo? Wamedai ni Mkenya au ana asili ya Kenya?

Ukirudi nyuma vya kutosha wote tunatokea sehemu moja.
 
So what akiwa na asili ya kiKenya? mbona akina Nyerere wana asili ya ki Tusi, mbona nkapa ana asili ya Msumbiji, mbona wa Tanzania wengi wana asili za mataifa tofauti ya nje? mbona Obama ana asili ya Kenya na ''Unguja?'', kwani Hashem Thabit akiwa na asili ya ki Kenya kuna ubaya gani?

Kama si ubaguzi ni nini?

Wengine tunaamini makabila na lugha ni kwa ajili ya kutambuwana tu na si kwa ajili ya kubaguana. Kwanza ni sifa kubwa sana ikiwa yeyote anaweza kuwa na ndugu na jamaa kutoka mataifa na nchi tofauti inaonyesha kuwa hana ubaguzi katika malezi yake. Utabaguwa ndugu zako?
 
Hivi majuzi nilipokuwa Kenya, nilisoma gazetini (Taifa Leo) kwamba Hasheem Thabeet ambaye karibuni atajiunga na NBA, kwamba ana asili ya UKENYA.Ndugu zake ni watu wa Malindi heti

Wakenya siyo mara yao ya Kwanza kuzusha mambo kama hayo, na watanzania wengi tumekuwa tukiamini maswala kama haya. Mimi swali langu ni je, Hakuna mtanzania mwenze akili ambaye hawezi kuhusishwa na nchi Jirani?

-Zitto Kabwe wengi wamenzushia kwamba ni Mganda,
-Joni Mashaka Naye Kaitwa Mkenya ilhali ni Mkurya.
-January Makamba Mtu wa Tanga kazushiwa Utaita;
-Mwakijiji Kazushiwa Umalawi

Je ni kwa nini watanzania hatuwezi kusimama na kujitetea????
Bila Kusahau kwamba mlima Kilimanjaro na Serengeti vipo kenya.Je kila kizuri cha kitanzania kwa nini kihusishwe na UKENYA?

Josm nae kazushiwa ni Mtanzania
 
yeye mwenyewe ndo mwenye duty ya kujitetea tusikie kutoka kwake, siajabu na yeye akaukataa utz hivihivi ili aonekana yuko juuu, ndivyo wabongo wengi walivyo.
 
Kwani Thabeet Akizushiwa kuna nini? Rostam Haziz naye kazushiwa ni mtanzania wakati ni mtu wa Irani, kwa hiyo?
 
Hivi majuzi nilipokuwa Kenya, nilisoma gazetini (Taifa Leo) kwamba Hasheem Thabeet ambaye karibuni atajiunga na NBA, kwamba ana asili ya UKENYA.Ndugu zake ni watu wa Malindi heti

Wakenya siyo mara yao ya Kwanza kuzusha mambo kama hayo, na watanzania wengi tumekuwa tukiamini maswala kama haya. Mimi swali langu ni je, Hakuna mtanzania mwenze akili ambaye hawezi kuhusishwa na nchi Jirani?

-Zitto Kabwe wengi wamenzushia kwamba ni Mganda,
-Joni Mashaka Naye Kaitwa Mkenya ilhali ni Mkurya.
-January Makamba Mtu wa Tanga kazushiwa Utaita;
-Mwakijiji Kazushiwa Umalawi

Je ni kwa nini watanzania hatuwezi kusimama na kujitetea????
Bila Kusahau kwamba mlima Kilimanjaro na Serengeti vipo kenya.Je kila kizuri cha kitanzania kwa nini kihusishwe na UKENYA?
Siku zote ukweli hubakia kuwa ukweli haijalishi umepindishwa namna gani.
Na mara zote ukisema uongo jiandae kusema uongo tena ili kusupplement uongo wako.Hivyo basi tusibishane na wajinga tukaja itwa wajinga maana ukweli utabakia ukweli tu.
 
yeye mwenyewe ndo mwenye duty ya kujitetea tusikie kutoka kwake, siajabu na yeye akaukataa utz hivihivi ili aonekana yuko juuu, ndivyo wabongo wengi walivyo.

Ajitetee kwa kosa lipi? Kwani kuwa Mkenya ni kosa. Mbona nilisikia kuwa Mwalimu JK ni Mnyarwanda, nilisikia pia kuwa Mtikila ni mtanzania, na lilisikia pia kuwa wewe ni mtanzania so what. Nimesikia pia kuwa Nyani Ngabu ni mtanzania, inabidi afukuzwe Marekani, Gavana wa Calofornia nae pia ni kama M-Austria naye arudishwe kwao pia. Ha mbona the world will be crazy with this kind of mentality?
 
wapi na wapi thabeet na ukenya?!!
sasa wao wakenya wanataka nini?
 
yeye mwenyewe ndo mwenye duty ya kujitetea tusikie kutoka kwake, siajabu na yeye akaukataa utz hivihivi ili aonekana yuko juuu, ndivyo wabongo wengi walivyo.

Ajitee kwa kosa gani??? Kuzaliwa au??? sijakuelewa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom