Muke Ya Muzungu
JF-Expert Member
- Jun 17, 2009
- 3,444
- 264
Hivi majuzi nilipokuwa Kenya, nilisoma gazetini (Taifa Leo) kwamba Hasheem Thabeet ambaye karibuni atajiunga na NBA, kwamba ana asili ya UKENYA.Ndugu zake ni watu wa Malindi heti
Wakenya siyo mara yao ya Kwanza kuzusha mambo kama hayo, na watanzania wengi tumekuwa tukiamini maswala kama haya. Mimi swali langu ni je, Hakuna mtanzania mwenze akili ambaye hawezi kuhusishwa na nchi Jirani?
-Zitto Kabwe wengi wamenzushia kwamba ni Mganda
-Joni Mashaka Naye Kaitwa Mkenya ilhali ni Mkurya.
-January Makamba Mtu wa Tanga kazushiwa Utaita;
-Mwakijiji Kazushiwa Umalawi
Je, ni kwanini watanzania hatuwezi kusimama na kujitetea?
Bila Kusahau kwamba mlima Kilimanjaro na Serengeti vipo kenya.Je kila kizuri cha kitanzania kwa nini kihusishwe na UKENYA?