Je, ni kweli kuwa walioathirika na virusi vya Corona kuchomwa sindano ya sumu?

Huo ndio ukweli Ni ngumu Sana kuzielewa propaganda za marekan kwa umri wako ila yalio nyuma ya pazia Ni meng kwan ukimwi s walitengeneza wakazuga na sokwe,magonjwa mangapi wanatengeneza maabara na kuyadampo kwa mataifa mengne

kilicho akilini kitumie
hayo unayosema sio mapya kwangu, daio lako ni conspiracy tupu.

Dunia imeshapata scapegoat (Marekani) .. kila tatizo ama janga la asili utasikia marekani / Israel wanahusika.

kuna wengine walienda mbali zaidi kwa kudai israel inaiba mawingu ya mvua, ndo maana mvua hazinyeshi nchini mwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haileti mantiki kutangaza, wangewachoma kimya kimya na kuwateketeza, na ukiuliza watakwambia amefariki kwa Crona, na mkidai mwili mtapewa majivu maana mkipewa mwili mtashindwa ku-uhandle maana ni very contagious.
 
Back
Top Bottom