jang40
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 328
- 230
Nimesoma pia mahali....
Ila sidhani km kuna ukweli......
Hata km wangetaka kufanya hivyooo..
Wasingetangaza.....Wangewa mute kimya kimyaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Walianza kututengeneza kisaikolojia ili siku yakitokea tusishangae tutaona mengi tuendelee kuwepo.
Mda sio mrefu wangeanza kula na watu wafupi maana sio kwa aptite iyo hao jamaa wanatisha.Ila wachina watu watu wa ajabu sana....
Wao kila kitu kinachotembea wanakula...
Tena kibichi...
Mijusi, konokono, nyoka, mende, mbwa, vyura, Panya, popo, minyoo, jongoo n.k n.k
Hakuna cha US wala allah hapa...
Wanajiua wenyewe...
kule kwao kuna siku maalum kbsa ya kula hayo madubwasha hapo juu ya kiwa mabichi..
hemb fikiria...
I wonder if the lack food in their country how far 'll they go..
Corona virus will Not last soon, bcz anything Made in China Doesn't last.
Wameshaanza kukatazana kula mataptap yao...
But time is not on their side again....
Wicked Set of people...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hadi leo walikuwa 30,000 unafikiri hiki ni kitu rahisi??Salaaam wakuu
Kuna tetes kwamba china imepeleka ombi mahakaman kuomba wapewe ruhusu ya kuwachoma sindano ya sumu wote walio athirika na virus vya corona coz wameshindwa kuvizuia kusambaa na iyo ndio njia wamepata.
Source;ndugu na jamaa wanaoishi china.
Sent using Jamii Forums mobile app
Iyo ngoma ukute targert ni africa maana waafrica wengi china ndio nyumbani kwao kibiashara iyo ngoma km mchina imemshinda ikifika huku wote tunaisha .Uzuri wake corona haiwapati wat weusi.
§Mwenye source ya mtu mweusi aliyeambukizwa amtaje hapa!
Uchumi unakua kwa kasi mtaalamu akaona wivu ngoja ampunguze kasi kidogo mcheche .Marekani Anachafua jina la China daah
Hey Africa learn it
Iyo ngoma ni noma bora H.I.V AIDS AU EBORA CORONA ni mwisho wa matatizo anakasi ya 6G ambayo bado ata huko atujafika Mungu atusaudie iishie huko huko.Mkuu hadi leo walikuwa 30,000 unafikiri hiki ni kitu rahisi??
Watu wanafikiri utani ngoma ni nzito.Iyo ngoma ni noma bora H.I.V AIDS AU EBORA CORONA ni mwisho wa matatizo anakasi ya 6G ambayo bado ata huko atujafika Mungu atusaudie iishie huko huko.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndio ukweli Ni ngumu Sana kuzielewa propaganda za marekan kwa umri wako ila yalio nyuma ya pazia Ni meng kwan ukimwi s walitengeneza wakazuga na sokwe,magonjwa mangapi wanatengeneza maabara na kuyadampo kwa mataifa mengne
Ila wachina watu watu wa ajabu sana....
Wao kila kitu kinachotembea wanakula, Tena kibichi,
kuanzia....
Mijusi, konokono, nyoka, mende, mbwa, vyura, Panya, popo, minyoo, jongoo n.k n.k
Hakuna cha US wala allah hapa...
Wanajiua wenyewe...
kule kwao kuna siku maalum kbsa ya kula hayo madubwasha hapo juu ya kiwa mabichi.
Sasa hemb fikiria!
I wonder if the lack food in their country how far 'll they go..
Corona virus will Not last soon, bcz anything Made in China Doesn't last.
Wameshaanza kukatazana kula mataptap yao...
But time is not on their side again....
Wicked Set of people...
Tuombe Mungu....
Siku itatua K.koo......
Ndani ya mwezi tuu hata wa kukuzika atakosekana...
Sent using Jamii Forums mobile app
Harafu ungeueleza nini umma watu wote hao kufa?Nimesoma pia mahali....
Ila sidhani km kuna ukweli......
Hata km wangetaka kufanya hivyooo..
Wasingetangaza.....Wangewa mute kimya kimyaaa
Sent using Jamii Forums mobile app