Je, ni kweli kuwa waarabu siyo wepesi wa kutoa misaada kwa nchi maskini??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je, ni kweli kuwa waarabu siyo wepesi wa kutoa misaada kwa nchi maskini???

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kingcobra, Feb 2, 2011.

 1. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #1
  Feb 2, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Jamani, mnaonaje hii thread?je, kuna ukweli wowote?
   
 2. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Data mzee angalau kidogo tu. Utashambuliwa humu na wazee wa ub.... Nakuonea huruma. Shauri yako.
   
 3. T

  Tom JF-Expert Member

  #3
  Feb 3, 2011
  Joined: May 14, 2007
  Messages: 472
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mimi ninaposikia Waarabu hua naunganisha Waarabu na utajiri wa mafuta, lakini ukiangalia sana wala waarabu wenyewe hawana utajiri wa ziada. Saudi Arabia ndio nchi ya kiarabu pekee yenye mafuta mengi lakini karibu yapo sawa na yanayozalishwa USA. Nchi za USA, China, Canada, Russia, Norway, Brazil nk licha ya kuzalisha mafuta mengi pia wanamali asili zingine na viwanda. Ukiondoa Saudi Arabia, Nigeria inazalisha mafuta kupita nchi yeyote ya Kiarabu, sasa haitakua sawa kusema Waafrika siyo wepesi wa kutoa misaada kwa nchi masikini maana tunajua kinachoendelea Nigeria.

  Kwa nchi masikini kama Tanzania atunyimae misaada anakua anafanya msaada mkubwa kwetu, maana umasikini wetu ni tokana na uzembe wetu. CCM nambari wani kwa kutowajibika.
   
 4. The Hunter

  The Hunter JF-Expert Member

  #4
  Feb 3, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 1,049
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Ndugu waarabu pia ni maskini kama watu wengine, hiyo misaada unayosemea wewe huwa haiji buree.
  Ushaona waarabu wanamiliki migodi hapa kwetu?
   
 5. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #5
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Mtu ukiwa na mawazo ya KUSAIDIWA SAIDIWA na kila mtu , mwisho wake hata familia yako utataka itunzwe na wafadhili.
  Tuwe na mawazo ya kujitegemea, umasikini ni mawazo ya mtu mwenyewe aliyejiweka katika hali hiyo.
   
 6. l

  lebabu11 JF-Expert Member

  #6
  Feb 3, 2011
  Joined: Mar 27, 2010
  Messages: 1,650
  Likes Received: 517
  Trophy Points: 280
  Misaada, misaada, misaada!
  Tuachane na fikra potofu za kuelekeza jamii utumwani!
   
 7. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #7
  Feb 3, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 524
  Trophy Points: 280
  wanatoa misaada kwa wingi tu ya ujenzi wa misikiti na visima kwa ajili ya maji ya kutawadhia
   
 8. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #8
  Feb 3, 2011
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kingcobra utakuja kupigwa bomba kwa kupenda msaada!!
   
 9. makandokando

  makandokando JF-Expert Member

  #9
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  naona wakuu tunatetea kwa nini waarabu hawatoi misaada....hii thread haihusu uhalali wa wao kutotoa misaada....hii thread inauliza je ni wepesi wa kutoa misaada au la? unajibu ndio na mifano, au hapana na mifano.....sio unaanza kutetea tu, kwani tumesema ni kosa kutokutoa misaada?
   
 10. K

  Kilembwe JF-Expert Member

  #10
  Feb 3, 2011
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 1,132
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  A silent fool is counted wise!
   
 11. Shomoro

  Shomoro Senior Member

  #11
  Feb 3, 2011
  Joined: Aug 22, 2010
  Messages: 111
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Haiko njema.
   
 12. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #12
  Feb 3, 2011
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  sucks to be you
   
 13. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #13
  Feb 3, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Hata waarabu pia hawako njema kivile. Juzi tumeona mafuriko kule Jeddah wali-straggle kupambana nayo kama 3rd world country tu. Kwa ujumla hata wao waarabu bado hawajaweka mambo yao vizuri japo wao wana nafuu kuliko sisi. Lakini pia hua wanatupa vijisenti kadhaa kupitia Kuwait Fund, Badea bank n.k.
   
 14. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #14
  Feb 3, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Mmhh, hii ni kali.
   
 15. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #15
  Feb 3, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Tutasaidiwa mpaka lini???:sick:
   
Loading...