Je ni kweli kuwa tatizo la Taifa Stars ni kocha? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je ni kweli kuwa tatizo la Taifa Stars ni kocha?

Discussion in 'Sports' started by trachomatis, Oct 16, 2011.

 1. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Wadau wa soka..Binafsi sidhani kocha yeyote anayejulikana kwa ubora ndiye muarobaini wa soka letu..Ukizingatia katika Afrika Mashariki sisi tuko nyuma kisoka(nafuu ilikuwepo wakati wa Maximo),sidhani kwa kigezo hicho tunaweza kuwa kama England ambao wanajiamini kwa ubora wa ligi na vipaji vya wachezaji wao. Kama kweli tuna nia ya kutafuta tunapokosea na upi muarobaini kwa soka letu labda iundwe TUME! Kama tume nyingine mfano ya rushwa ya Warioba.Mle ndani mna kila kitu,mianya mpaka ushauri wa jinsi ya kupambana nayo. Naamini sisi kama nchi hatujajua tatizo la soka letu.Tukijua hilo naamini uwekezaji wa makampuni ya vinywaji na taasisi kama mabenki utaenda mahali ambapo manufaa yake tutayaona with time. Karibuni wadau.
   
 2. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #2
  Oct 18, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Wadau thread hiyo jamani..
   
 3. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Wadau tuchangie vya maana kwenye thread ama ndiyo kila mmoja kalichoka soka la bongo anahusudu Simba,Yanga na BARCLAYS EPL?
   
Loading...